Recent content by cute junior

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania natafuta mrembo humu

    we we we we mi sio mzee
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wakuu nisaidieni tatizo la demu wangu

    pole sana, na hongera kwa kuweza kumuacha!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Chakula cha usiku

    mangararimu
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania naomba ushauri

    daaah nashkuru sana sembe nitafwata ushauri wako ni mzuri mno. Once again thank u
  5. C

    JamiiForums Tanzania Utumbo kujikunja kunasababishwa na nini?

    pia ukikaa na njaa mda mrefu utumbo unajikunja thus why ukila chakula baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kula tumbo linauma kwa sababu chakula kinapoingia tena tumboni ule utumbo huwa unajikunjua tena
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania anaweza akawa anasema ukweli?

    sisi wanawake sijui tukoje yani mtu ana bf wake halafu anamwambie mtu mwingine i lov u na wet kiss juu!! Tutapona kweli? Shame on her! watch out tan 90 hapo kuna mawili anakupenda kweli au ni amekutamani tu
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ataka nimalizia haja zake loooo

    khaaaaaa!!!!! Una uvumilizu sana dada mi ningemtwanga ngumi fyuuu hana adabu kabisa
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

    same to all
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuachana na mpenzi

    Sasa dada ukimwacha ukaenda kwa mwingine ukakuta ndio bomu bomu kabisa utakuja na mada gani tena? Kaa nae mjaribu kusolve matatizo yenu mwambie a b c d sipendi if he realy lov u he wil understand but for case of breaking up mi sikushauri hata kidogo
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman...

    sasa wao waolewe na nani mkisema hivyo?? Just keep in ur mind that no one in this earth is perfect even u,
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

    mwanaume mwenye upendo wa kweli ndio mpango mzima coz kama ni hela simtazitafuta???anaweza akawa na pesa lakini hakuna upendo ndio hapo ndoa inakuwa ndoano. Samahani wewe ni mchaga??
  12. C

    JamiiForums Tanzania kupata mimba

    msamehe bure sio kosa lake
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mke wangu ananibaka?

    acha ujinga we kaka,unauliza kabisa will it help?? Inaelekea haumpendi mkeo sasa kwanini ulimuoa? Thats not good bro change ur mind and starts lov ur wife and u hav to respect her feeling!
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mke wangu ananibaka?

    hivi unaakili zote wewe kaka? Mkeo anakubaka!!!! Khaaaaaa God forgive him, listen bro as long as she is u'r wife u hav to give her what she wants otherwise utakuwa unamtesa dada wa watu. Mpe mkeo atakacho!
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utanashati, umaridadi, usafi, uzuri kipi ni muhimu?

    usafi ndio kitu muhimu
Back
Top Bottom