Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman...

Syllogism:
1. Wanaume wote wanaoa wanawake wanaowaona ni wazuri
2. Hivyo wanawake waliiolewa ni wazuri
3. Then, wanawake wote walioolewa wana sifa hizo mbovu hapo juu

Does this make sense, if not then we have to define "mwanamke mzuri" before we discuss the above 10 arguments

Ngoja waje wenyewe,hawawezi michezo ya dunia, Lo!

And thus study nullified.........Thanx a lot Chuakachara
 
Well, too bad men of your type with low self esteem think a beautiful woman is what you describe. And too bad that we exist and more beautiful women are born each new day. So you and your bunch of monkey crew can take your research and shove it where it belongs because we are all taken. Vent your bitterness on another species. Homosexuals for instance. I.d.i.o.t.s
 
Mkuu mtoa uzi mwenyewe ameanza kwa kusema hivi "This research has actually taken me and my crew 5 years to arrive at these findings" Huoni kama tunahaki ya kuona hiyo paper yake manake utafiti wa miaka 5 sio kitu kidogo. Tena sio wa mtu mmoja wa watu kadhaa na mtoa uzi bwana Masaki ndoo kiongozi wa jopo la utafiti. Utafiti ni tofauti kidogo na common experience shared by many over a period of .... whetever. Common sense nayo naikataa na ndiyo maana tumesema atoe sampuli kwasababu mkiwa wanaume watano haiwezekani wote mkawa mnamuona msichana mathalani mwembani ni mzuri lazima kutakuwa na mmoja wenu atasema no angekuwa mnene. Common sense is not common when it comes to subjective matters like beauty

Mtapigwa, nimependa reasoning yako sana, mbona tuko pamoja. Hapo penye red it is true, sisi kwenye education tunapofundisha wanafunzi wetu idea ya CONCEPTS tunatoa mfano kuwa BEAUTY IS NOT A CONCEPT, BUT A BEAUTIFUL THING CAN BE APPRECIATED BY MANY! Mimi ndio common sense ninayoisema. Akitokea msichana "mzuri" watu 90 kati ya 100 wakasema huyu ni mzuri, then though beauty is not a concept, but as long as the overwhelming majority wamesema ni mzuri, huyo kweli ni mzuri. Ndio maana nimesema hii sio hard science, kwenye hard science, habari ya overwhelming majority huwa haipo!
 
Syllogism:
1. Wanaume wote wanaoa wanawake wanaowaona ni wazuri
2. Hivyo wanawake waliiolewa ni wazuri
3. Then, wanawake wote walioolewa wana sifa hizo mbovu hapo juu

Does this make sense, if not then we have to define "mwanamke mzuri" before we discuss the above 10 arguments

Ngoja waje wenyewe,hawawezi michezo ya dunia, Lo!

ha ha ha ha..
syllogism.
All philosophers are great Thinkers.
Dr. Mihanjo is a philosopher.
Therofore, Dr. Mihanjo is a great thinker.

umenikumbusha miaka ya 2006 mkuu
 
Mkuu nimejaribu kuweka hiyo maana naamini wanaume wote wanaoa wanawake wanaoamini ni wazuri, hivyo wanawake wetu wana tabia mbovu hizo!!!! Nimeogopa, au tudefine wanawake wazuri ni wapi
 
uzuri wa mtu siku zote utabaki kuwa subjective, japokuwa kuna baadhi ya wanawake wanaattract attention kwa wanaume kadhaa, na mara kadhaa tumeshuhudia watu wakipigana na wakitoana uhai kwa ajili ya mwanamke. na hili pia liko sawasawa kwa wanawake kuwaona baadhi ya wanaume ni wazuri na hivyo kuwa tayari hata kuuana kuwawin wanaume hao.

yote na yote, mtu mwanamke/mwanaume, hawezi kuwa mzuri kwa wote. baadhi watamwona mzuri, wengine watamwona wakawaida tu. ndivyo ilivyo
 
This research has actually taken me and my crew 5 years to arrive at these findings.

1. High chances of her cheating on the husband

2. Lack of respect for the husband

3. Psychological trauma for the husband

4. Likely to have beautiful daughters as a results with its own troubles

5. Natural imbalance, a clear case of the beauty and the beast.

6.Financial problems as our study revealed that, most beautiful ladies are lazy and demanding

7. HIGH likelihood of the husband cheating as most beautiful women are weak in bed

8. Most beautiful wives are terrible at cooking

9. Egoism: Most beautiful wives are very egocentric and disrespectful

10. Most beautiful wives are infertile and often give birth to midgets

thank you
cool.gif

sasa wao waolewe na nani mkisema hivyo?? Just keep in ur mind that no one in this earth is perfect even u,
 
Halafu kamuulize yule ambaye anakaa nyumba moja ya kupanga na rafikiye. Juzi kasikia mke wa rafikiye analia usiku alipotoka akamkuta anapigwa na mumewe huku akiwa yuko uchi wa binadamu. Tangu alipomuona huyo bi dada hamu ya kuwa na mke wake imepotea anado na mkewe lakini anamuwaza bi dada wa chumba cha jirani mwenye ngozi nyororo na body iliyoumbika kutoka juu hadi chini wenyewe wanaita figure nambari eight, njemba imebidi ahame nyumba....

Last edited by a moderator:
This research has actually taken me and my crew 5 years to arrive at these findings.

1. High chances of her cheating on the husband

2. Lack of respect for the husband

3. Psychological trauma for the husband

4. Likely to have beautiful daughters as a results with its own troubles

5. Natural imbalance, a clear case of the beauty and the beast.

6.Financial problems as our study revealed that, most beautiful ladies are lazy and demanding

7. HIGH likelihood of the husband cheating as most beautiful women are weak in bed

8. Most beautiful wives are terrible at cooking

9. Egoism: Most beautiful wives are very egocentric and disrespectful

10. Most beautiful wives are infertile and often give birth to midgets

thank you
cool.gif
Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman!! - Jokes Etc - Nairaland
 
This research has actually taken me and my crew 5 years to arrive at these findings.

1. High chances of her cheating on the husband

2. Lack of respect for the husband

3. Psychological trauma for the husband

4. Likely to have beautiful daughters as a results with its own troubles

5. Natural imbalance, a clear case of the beauty and the beast.

6.Financial problems as our study revealed that, most beautiful ladies are lazy and demanding

7. HIGH likelihood of the husband cheating as most beautiful women are weak in bed

8. Most beautiful wives are terrible at cooking

9. Egoism: Most beautiful wives are very egocentric and disrespectful

10. Most beautiful wives are infertile and often give birth to midgets

thank you
cool.gif

Nadhani hujiamini
 
Mi sijakuelewa hapo. Au sijui kusoma? Labda ungeweka picha.
 
Kwa wasioamini hii ni kweli kwa kiwango fulani.
Mimi nina mke mzuri ni balaa, lakini kila mtu anataka kufaidi ninachofaidi, hii inanipa mchecheto.
Umesahau na quality moja, huwa hawanaga akili sana!
 
asante nkuu kwa kuongezea ilo huwa hawanaga akili sana
 
Back
Top Bottom