Utanashati, umaridadi, usafi, uzuri kipi ni muhimu?

i like this. mimi huwa napenda mtu msafi, akila hajimwagii ama hachafui mdomo kwa vyakula. hakohoi hovyo mezani, akivua viatu anaweka pasafi na soksi hachanganyi na nguo nyingine chafu. dawa ya mswaki haibinyi bila mpango ama haipaki lotion na kuweka mfuniko pembeni. you know these stuffs ni ndogo but zina impact sana kwenye mahusiano. imagini unakuwa na gf kitana anachochania nywele kinabakizwa na nywele zilizokatika, na hakioshwi.................aaarrrrgggggg!! yaani

Umeongea sahihi, lakini kwenye kukohoa mezani, ni mambo ambayo hutokea. Staha ni mtu akiona kuna dalili ya kikohozi kuendelea asogee pembeni ya meza kidogo.
 
Umeongea sahihi, lakini kwenye kukohoa mezani, ni mambo ambayo hutokea. Staha ni mtu akiona kuna dalili ya kikohozi kuendelea asogee pembeni ya meza kidogo.

ndio maana nimeweka neno hovyo hapo manake kuna bahati mbaya ila inapotokea mtu hana haya anakohoa tu bila kujali hii inaleta kinyaa sana mbele za watu
 
Mara nyingi huwa nasikia maneno haya umaridadi, utanashati, uzuri, usafi yakitajwa kama vitu ambavyo vina 'add value' kwenye mahusiano.

Sasa; Je, hivi ni kwamba maneno haya ni synonymous? Kama sio, kipi ni muhimu zaidi kwenye mahusiano?

usafi ndio kitu muhimu
 
perhaps am your mom. or aren't you Claine???:confused2::confused2::confused2:
ha ha!! you have to meet me ili upate uhakika, lakini my mom's name starts with G in her work ID and she has the same thinking as you so ndio maana nimeshtuka kidogo.
 
ha ha!! you have to meet me ili upate uhakika, lakini my mom's name starts with G in her work ID and she has the same thinking as you so ndio maana nimeshtuka kidogo.
mmmmh! nafwa lol!
basi iwe hivi tusionane ili ibaki kwamba sikujui. i cant imagine.............chonde this shall be btn me and you lol!
 
Back
Top Bottom