Jinsi ya kuachana na mpenzi

Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
Mbona easy hyo mwite mweleze ukwel then kata mawasiliano naye akiona umempa cold sholder mwenyewe atajistukia!! Ila ukaze kwelkwel kuonyesha uko real
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Fanya kama ulivyoanza mapenzi naye. Kwa vile hatukukufundisha jinsi ya kupenda, kadhalika hatuwezi kukufundisha jinsi ya kuacha.
habari zenu lolz. Jamani naomba maushauri jinsi ya kuachana na mpenzi uliechoshwa na mambo yk ya Ajabu2.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
86,327
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
86,327 2,000

Oh, how about a round of applause?
Yeah, standing ovation? Ooh, oh yeah
Yeah y-yeah yeah
You look so dumb right now
Standing outside my house
Trying to apologize
You're so ugly when you cry
Please, just cut it out
Don't tell me you're sorry 'cause you're not
And baby when I know you're only sorry you got caught
But you put on quite a show, really had me going
But now it's time to go, curtain's finally closing
That was quite a show, very entertaining
But it's over now(But it's over now)
Go on and take a bow
Grab your clothes and get gone
You better hurry up before the sprinklers come on
Talking' 'bout, "Girl, I love you," "You're the one"
This just looks like a rerun
Please, what else is on?
Don't tell me you're sorry 'cause you're not
And baby when I know you're only sorry you got caught
But you put on quite a show, really had me going
But now it's time to go, curtain's finally closing
That was quite a show, very entertaining
But it's over now(But it's over now)
Go on and take a bow
Oh, and the award for the best liar goes to you(Goes to you)
For making me believe that you could be faithful to me
Let's hear your speech out
How about a round of applause?
A standing ovation?
But you put on quite a show, really had me going
Now it's time to go, curtain's finally closing
That was quite a show, very entertaining
But it's over now(But it's over now)
Go on and take a bow
But it's over now
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,323
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,323 2,000
Hata huyo atakaekuja atakuwa na mambo ya aajabu tu!!!

Try your best kusolve, japo sijajua kwani ana uajabu gani?
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,005
Points
2,000
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,005 2,000
mbona simple tu?

Mtoe lunch mle mshibe then mwambie kutokana na a,b,c,d sitoweza kuendelea na uhusiano huuu blah blah blah tutabakia kuwa friends ukipenda.......nakutakia maisha mema uende zako (usisahau kulipia bili ya msosi )
 
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
1,680
Points
1,225
Naibili

Naibili

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
1,680 1,225
mpaka unauliza jinsi ya kumuacha inaonyesha unampenda hata unaogopa kumwambia, tumia jiwe la mbali, mtumie sms umpe makavu
 
G

Gibson Mshabaa

Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
6
Points
0
G

Gibson Mshabaa

Member
Joined Dec 14, 2012
6 0
Mpe makavu nawe uendelee na life yako.
Nin bhana? Hakuna tena yale mapenzi ya kupakatana. "Ukiona haelekei ujue UMELIWA"
 
zema21

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
619
Points
225
zema21

zema21

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
619 225
tatua tatizo usitake ushauri wa kuongeza matatizo
 
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2012
Messages
684
Points
195
Age
27
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2012
684 195
mwenye macho haambiwi tazama matendo 2 utakyo mfanyia yeye mwenyewe atajua wala haina haja ya kuumiza kichwa wakati ki2 simple 2
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
Mbona easy hyo mwite mweleze ukwel then kata mawasiliano naye akiona umempa cold sholder mwenyewe atajistukia!! Ila ukaze kwelkwel kuonyesha uko real
huyu mtoa mada kama alikua kwenye akili yangu, kiukweli me nimechoka kumchezea kijana wa watu , bt yeye ni tofauti he is so innocent kumbwaga naona aibu na kuendelea kumchezea i fil guilt so na mimi mnishauri tu nitumie njia gani isiyo na madhara, nimvizie tukiwa out nimpe live, au nitume sms au nimpigie lakini nataka anielewe na asikasirike coz bado nautamani mchango wake kwenye maisha yangu, sio financially pls
 
C

cute junior

Member
Joined
Dec 8, 2012
Messages
31
Points
0
C

cute junior

Member
Joined Dec 8, 2012
31 0
sasa dada ukimwacha ukaenda kwa mwingine ukakuta ndio bomu bomu kabisa utakuja na mada gani tena???? Kaa nae mjaribu kusolve matatizo yenu mwambie a b c d sipendi if he realy lov u he wil understand but for case of breaking up mi sikushauri hata kidogo
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
sasa dada ukimwacha ukaenda kwa mwingine ukakuta ndio bomu bomu kabisa utakuja na mada gani tena???? Kaa nae mjaribu kusolve matatizo yenu mwambie a b c d sipendi if he realy lov u he wil understand but for case of breaking up mi sikushauri hata kidogo
hakuna anayependa kubreakup bila sababu ya msingi jamani , muulieni awambie kinachomsibu sio kumng'ang'aniza asi breakup
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
Mweke wazi sema kweli nayo kweli itakuweka huru ofkoz ataumia bt ukwel lazima usemwe usimchezee kijana wa watu kwa 4yrs then uje umteme wakati time imekata, tafuta sehemu ya utulivu ketin then mpe dozi yake ya quinine! Ila Suprise vp impact ya prisoner imekukumba nn?
huyu mtoa mada kama alikua kwenye akili yangu, kiukweli me nimechoka kumchezea kijana wa watu , bt yeye ni tofauti he is so innocent kumbwaga naona aibu na kuendelea kumchezea i fil guilt so na mimi mnishauri tu nitumie njia gani isiyo na madhara, nimvizie tukiwa out nimpe live, au nitume sms au nimpigie lakini nataka anielewe na asikasirike coz bado nautamani mchango wake kwenye maisha yangu, sio financially pls
 
Last edited by a moderator:
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
Acha kuwa na fikra mgando ajifoc kuwa na mtu while hamfil ili iweje? Ka ww umezoea kuvumilia hata moyo wako unapokataa its u, kumbuka huyo ni bf tu ingekuwa mume situatn na ushaur ungekuwa tafauti
sasa dada ukimwacha ukaenda kwa mwingine ukakuta ndio bomu bomu kabisa utakuja na mada gani tena???? Kaa nae mjaribu kusolve matatizo yenu mwambie a b c d sipendi if he realy lov u he wil understand but for case of breaking up mi sikushauri hata kidogo
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,733
Points
2,000
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,733 2,000
mbona simple tu?

Mtoe lunch mle mshibe then mwambie kutokana na a,b,c,d sitoweza kuendelea na uhusiano huuu blah blah blah tutabakia kuwa friends ukipenda.......nakutakia maisha mema uende zako (usisahau kulipia bili ya msosi )
huyu atakuwa anampenda sana ndio tatizo hakuna jingine..
 
Forum statistics

Threads 1,283,852
Members 493,850
Posts 30,803,093
Top