naomba ushauri

naomba ushauri

Hongera bi mdada kwakufikia umri huo ukiwa bado huyajui mambo ya kikubwa, hapo cha msingi kama unajiaminisha hujawahi kunanihii hata siku moja, mwambie kwa kumbembeleza huku umerembua, '' Honey nimekutunzia TUNU ambayo utaifaidi mara tu baada ya ndoa kufungwa, nakuahidi kuwa kama nilivyojitunza na sijui mwanaume mpaka leo, katu sitamruhusu mwingine aonje TUNU yako, vumilia kwani subira huvuta heri mpenzi, nakupenda sana, pia nionyeshe upendo kwa kuvumilia mpaka siku ile ikifika'' Kisha mbusu kwenye paji la uso halafu akuthibitishie kwamba atavuta subira. Akikubali, mbusu tena kwenye paji la uso kisha muage urudi nyumbani kwani ukikaa sana mizuka itamsumbua, pia mara nyingi jenga mazoea ya kumtembelea ukiwa na eidha rafiki yako au mdogo wako ili pasiwepo mwanya wa ahadi kuvunjwa.:cheer2:
 
Mbana hii imekaa kama kimatangazo zaid! 25 yrs bikra???
 
Mentor pa bluu sijakusomaa kabisaaaa. Haha hahaaaaaaa mpaka mtu ukubali kujaribu nae unakuwa ushamsoma vilivyo lol other wise unacheza pata potea

1. neggirl...unaujua wimbo wa chegge - mwanayumba!??

2. mh! unajua hata wewe ukiwa unataka kitu kwa mzazi wako tu utaji camouflage ili mradi tu kwa muda huo akuone mtoto mwema akupe utakacho kisha baada ya hapo back to normal...na kwenye mahusiano hiyo ipo sana!

3. mbona hujibu pm zangu!??
 
Last edited by a moderator:
Hongera bi mdada kwakufikia umri huo ukiwa bado huyajui mambo ya kikubwa, hapo cha msingi kama unajiaminisha hujawahi kunanihii hata siku moja, mwambie kwa kumbembeleza huku umerembua, '' Honey nimekutunzia TUNU ambayo utaifaidi mara tu baada ya ndoa kufungwa, nakuahidi kuwa kama nilivyojitunza na sijui mwanaume mpaka leo, katu sitamruhusu mwingine aonje TUNU yako, vumilia kwani subira huvuta heri mpenzi, nakupenda sana, pia nionyeshe upendo kwa kuvumilia mpaka siku ile ikifika'' Kisha mbusu kwenye paji la uso halafu akuthibitishie kwamba atavuta subira. Akikubali, mbusu tena kwenye paji la uso kisha muage urudi nyumbani kwani ukikaa sana mizuka itamsumbua, pia mara nyingi jenga mazoea ya kumtembelea ukiwa na eidha rafiki yako au mdogo wako ili pasiwepo mwanya wa ahadi kuvunjwa.:cheer2:

daaah nashkuru sana sembe nitafwata ushauri wako ni mzuri mno. Once again thank u
 
Ndege wenye mabawa yanayofanana huruka pamoja,kama ni wako atavumilia kama si wako ataondoka,usiogope hakuna mwenye garantii ya maisha!leo waweza cheki na mkarighiana mkafunga ndoa kesho mmoja wenu akashuka kiwango je mtaachana?una uhakika gani kwmb mwanaume rijal leo anaweza dumu milele?ila kwa uzoefu tu mwanaume uliyemuweka sana siku utakayompa kabla ya ndoa ujue atakutema tu unless neema ya Mungu iingie kati kwan anakuwa na hasira sana,halaf ww uliyetolewa bikira unaweza kuathrika kisaikolojia,utakuwa una uchungu siku zote ndo kisa cha kuwachukia wanaume wote,km ni mshika dini hiyo dhambi itakutesa sana hutakuwa na aman kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom