anaweza akawa anasema ukweli?

tan 90

Senior Member
Jul 29, 2012
182
195
habari wana jf,Ndugu wana jf naomba ushauri wenu katika hili,miez mitatu nyuma nilikutana na binti mmoja maeneo fulan,ikatokea katika muda mfupi tulikua marafiki wa karibu sana,muda mwing tulikua tukikaa pamoja,2kila pa1,tukilishana chakula muda mwngne,tukipeana vizawad vya hapa na pale,siku moja 2kakiss(wet kiss),cku zlizofuata ikawa 2kibak sehemu wawili 2nashkanashkana,hugs za ajabu kw wing,kuniambia i lv u mara kibao,kiukwl nilikua tayar in lv wth ha,ikabd cku nimueleze kwmb i hav filingz for ha,akaniambia kwmb ana bf wake thn anampenda sana,thn mm ananipenda sana ila kama rafk wake wa karbu,sasa nashndwa kuelewa km anasema ukwl au na yy pia anaflngz na mm,naomben shaur
 
Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
2,000
we endeleza anayokupa yanakutosha mbona ukifika mda wa wewe kua bf wake utakua tu, ya nini ufuge ng'ombe na una uhakika wa kunywa maziwa
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,795
2,000
Hivi marafiki wangu wa karibu mko wapi, i have wet very frenchy kisses for each one of you. (Paw, ukisoma hapa uka-cancel holiday bookings zetu shauri yako. I have chocolaty bierre tasting kisses for you)
 
kumbe nawe marafiki zako wana raha ya hii kifaransa kiss, kweli just a frend, chezea positive n negative charge wewe
 
tan 90

Senior Member
Jul 29, 2012
182
195
we endeleza anayokupa yanakutosha mbona ukifika mda wa wewe kua bf wake utakua tu, ya nini ufuge ng'ombe na una uhakika wa kunywa maziwa

nimeipenda hyo,lakn bdo hujanijibu swli langu,kwmb anaweza kuwa anaxema ukwl au la,accordng to hw u knw grlz.
 
Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
2,000
nimeipenda hyo,lakn bdo hujanijibu swli langu,kwmb anaweza kuwa anaxema ukwl au la,accordng to hw u knw grlz.

mbona una haraka we mtoto, c nimekwambia endeleza hayo nusu kwanza , heri nusu shari kuliko ......................., utaingiaje chumbani hujakaribishwa sebuleni kwanza
 
MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,470

Ngoja nimsaidie saprise, kuhusu alivyosema huyo mwanadada anajua mwenyewe huwezi kuusemea moyo wa mwenzio.
 
MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,470
2,000
mbona una haraka we mtoto, c nimekwambia endeleza hayo nusu kwanza , heri nusu shari kuliko ......................., utaingiaje chumbani hujakaribishwa sebuleni kwanza

rejea red hapo juu. Kwani si unapitia njia za panya i ean hata darini si mbaya mradi unachokitaka kikamilike!!!
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,806
2,000
talk 2 'ha' muulize 'ha' kwa nini alikupa wet kiss...thn muulize ameamuaj khs future yenu wewe na 'ha' .... 'ha' akikujibu fanya maamuzi.....
 
Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,606
2,000
habari wana jf,Ndugu wana jf naomba ushauri wenu katika hili,miez mitatu nyuma nilikutana na binti mmoja maeneo fulan,ikatokea katika muda mfupi tulikua marafiki wa karibu sana,muda mwing tulikua tukikaa pamoja,2kila pa1,tukilishana chakula muda mwngne,tukipeana vizawad vya hapa na pale,siku moja 2kakiss(wet kiss),cku zlizofuata ikawa 2kibak sehemu wawili 2nashkanashkana,hugs za ajabu kw wing,kuniambia i lv u mara kibao,kiukwl nilikua tayar in lv wth ha,ikabd cku nimueleze kwmb i hav filingz for ha,akaniambia kwmb ana bf wake thn anampenda sana,thn mm ananipenda sana ila kama rafk wake wa karbu,sasa nashndwa kuelewa km anasema ukwl au na yy pia anaflngz na mm,naomben shaur
nachukia sana uandishi wa aina hii........ Au sijui mimi ndo mshamba?!
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
53,865
2,000
Mambo yote hayo afu no mchezo?why?mna shida gani?
Haya bwana we mkule baada ya hapo mwenyewe utaona upo katika nafasi gani kwake!!
 
nyabaheta

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
247
0
habari wana jf,Ndugu wana jf naomba ushauri wenu katika hili,miez mitatu nyuma nilikutana na binti mmoja maeneo fulan,ikatokea katika muda mfupi tulikua marafiki wa karibu sana,muda mwing tulikua tukikaa pamoja,2kila pa1,tukilishana chakula muda mwngne,tukipeana vizawad vya hapa na pale,siku moja 2kakiss(wet kiss),cku zlizofuata ikawa 2kibak sehemu wawili 2nashkanashkana,hugs za ajabu kw wing,kuniambia i lv u mara kibao,kiukwl nilikua tayar in lv wth ha,ikabd cku nimueleze kwmb i hav filingz for ha,akaniambia kwmb ana bf wake thn anampenda sana,thn mm ananipenda sana ila kama rafk wake wa karbu,sasa nashndwa kuelewa km anasema ukwl au na yy pia anaflngz na mm,naomben shaur

Mtoto kashasema anakupenda na anakupa mpaka wet kiss bado unaamua kumwambia kuwa una feelings juu yake,ungeacha mambo yaende naturally,we endelea kama zamani tu,huyo ni wako tayari,acha maswali ya ajabu ajabu kama vile huna uhakika na hujiamini na position uliyonayo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,392
2,000
talk 2 'ha' muulize 'ha' kwa nini alikupa wet kiss...thn muulize ameamuaj khs future yenu wewe na 'ha' .... 'ha' akikujibu fanya maamuzi.....

Utoto kazi kweli...mmeshafanya yote hayo then ndo unatongoza unategemea nini. Hana haja ya kumuuliza maswali mengi. Dogo amechemka. Alitakiwa amvute getto alimbe kitu then mambo mengine ya ngefuata.

Dogo mpaka demu kufanya yote hayo ina maana anakupenda na alishajua na wewe unampenda so kitendo chaku cha kumtongoza wakati yeye alishajua unampenda ndo kimefanya dem akupotezee maana kakuona husomeki. Anyways jifanye kama hakusema chochote muendelee na kamchezo kenu ka kushikana na then tengeneza mazingira ya kumuweka kwenye 6 kwa 6. Mambo mengine yatafuata
 
Fpam

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
290
0
wewe mwanaume gani wewe, mnahug anakwambia i love you then unaanza kumwabia habri zako tena za nini tena wakati mambo yalishamalizika. unajifanya unafata procedure eti eeh?

hizo bahati zikitukuta wengine ni kama Messi abaki na mabeki wa wili unahesabu goli
 
Purple

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
2,027
1,750
duh kumbe cku hizi hamna tena tofauti kati ya wapenz na marafiki?kweli nimezeeka now
 
tan 90

Senior Member
Jul 29, 2012
182
195
wewe mwanaume gani wewe, mnahug anakwambia i love you then unaanza kumwabia habri zako tena za nini tena wakati mambo yalishamalizika. unajifanya unafata procedure eti eeh?

hizo bahati zikitukuta wengine ni kama Messi abaki na mabeki wa wili unahesabu goli

nimekusoma mkuu.
 
cute junior

Member
Dec 8, 2012
31
0
sisi wanawake sijui tukoje yani mtu ana bf wake halafu anamwambie mtu mwingine i lov u na wet kiss juu!! Tutapona kweli? Shame on her! watch out tan 90 hapo kuna mawili anakupenda kweli au ni amekutamani tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom