- Thread starter
- #41
nimesema hivi kwa kumaanisha kwamba watu nane ni heavy weight sasa akibishana na watu wenye uzoefu mdogo heshima itashuka sina maana ya kumsimanga.watu nane ni katika kuwekana sawa tu mzee.
samahani nilikuwa nauliza huo uheavy weight wake upo ubongoni,misuli ya mikono au mdomoni?aliyeanza kumtukana mgeni ni yeye sasa huo ustaarabu uko wapi?huo uzoefu wake umemsaidia nini?cjaingia kutafuta umaarufu humu coz sitapata hata sent 5.bhaaaaaaas!