Utumbo kujikunja kunasababishwa na nini?

The secretary

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
4,148
Reaction score
2,542
Jamani hili tatizo nimekuwa nikilisikia kwa watu lakini sijui chanzo naomba kujuzwa
===
MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU
Umeuliza swali zuri kwa ufupi hili jambo la utumbo kujikunja bado halina tips nyingi katika fani majibu mengi why intestinal obstruction bado hayapo whether intususception or volvulus, tatizo likitokea kwa watoto wadogo mara nyingi tunadhan ni congenital intestinal malrotation, content

Pia apa tunazungumzia watu wazima maswala ya constipation, kwa watoto meconium problem pia zimeonesha kusababisha kujikunja utumbo, maambukizi{infection} lakini hakuna ushahidi wa kutosha, altered motility ambaya pia coz yake haijajulikana vizuri ukiachilia mbali ile ya kuzaliwa ambayo innervation ya utumbo inakua poor,Hirschsprung's disease

Kwa watoto wadogo hakikisha chakula cha mtoto ni maziwa ya mama maziwa ya mama pekee,maana tumbo la mtoto bado linakua linakomaa kwa watu wazima hakikisha unakula mlo kamili wenye vyakula vyenye kamba kamba fibre ili kuepusha constipation
kwa wanywaji wa pombe pombe huwa inasababisha dehydration upungufu wa maji mwilini saana make sure ya rehydrate vya kutosha with h2o na sio pombe
health tipshttp://en.wikipedia.org/wiki/Hirschsprung%27s_disease
Intussusception (medical disorder) - Wikipedia, the free encyclopedia
Volvulus - Wikipedia, the free encyclopedia
 
kuna volvulus-kujifunga(wakubwa sana) na intususseption- kuingia ndani ya wingine(sana watoto) Kujikunja husababisha na vitu vingi kama umri ni predisposing factor, chronic constipation, kuwa na minyoo kwenye utumbo(round worms), kutumia sana laxatives, previous operation, sigmoid colon ikiwa ovaloaded baada ya long fasting + idiopathic. Mtu huyu huwa na maumivu makali sana kutokana na kujikunja kwa utumbo na kuzuia mzunguko wa damu(colicky pain)

Yaani utasikia mgonjwa anakuambi Dr, yananakuja, yanakuja,yanakuja, anavuja jasho,tumbo kujaa upande mmoja, anakuwa dehydrated, homa juu, mapigo ya moyo kwenda mbio nk.
 
pia ukikaa na njaa mda mrefu utumbo unajikunja thus why ukila chakula baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kula tumbo linauma kwa sababu chakula kinapoingia tena tumboni ule utumbo huwa unajikunjua tena
 
Umeuliza swali zuri kwa ufupi hili jambo la utumbo kujikunja bado halina tips nyingi katika fani majibu mengi why intestinal obstruction bado hayapo whether intususception or volvulus, tatizo likitokea kwa watoto wadogo mara nyingi tunadhan ni congenital intestinal malrotation, content

Pia apa tunazungumzia watu wazima maswala ya constipation, kwa watoto meconium problem pia zimeonesha kusababisha kujikunja utumbo, maambukizi{infection} lakini hakuna ushahidi wa kutosha, altered motility ambaya pia coz yake haijajulikana vizuri ukiachilia mbali ile ya kuzaliwa ambayo innervation ya utumbo inakua poor,Hirschsprung's disease

Kwa watoto wadogo hakikisha chakula cha mtoto ni maziwa ya mama maziwa ya mama pekee,maana tumbo la mtoto bado linakua linakomaa kwa watu wazima hakikisha unakula mlo kamili wenye vyakula vyenye kamba kamba fibre ili kuepusha constipation
kwa wanywaji wa pombe pombe huwa inasababisha dehydration upungufu wa maji mwilini saana make sure ya rehydrate vya kutosha with h2o na sio pombe
health tipshttp://en.wikipedia.org/wiki/Hirschsprung%27s_disease
Intussusception (medical disorder) - Wikipedia, the free encyclopedia
Volvulus - Wikipedia, the free encyclopedia
 
kuna volvulus-kujifunga(wakubwa sana) na intususseption- kuingia ndani ya wingine(sana watoto) Kujikunja husababisha na vitu vingi kama umri ni predisposing factor, chronic constipation, kuwa na minyoo kwenye utumbo(round worms), kutumia sana laxatives, previous operation, sigmoid colon ikiwa ovaloaded baada ya long fasting + idiopathic. Mtu huyu huwa na maumivu makali sana kutokana na kujikunja kwa utumbo na kuzuia mzunguko wa damu(colicky pain)

Yaani utasikia mgonjwa anakuambi Dr, yananakuja, yanakuja,yanakuja, anavuja jasho,tumbo kujaa upande mmoja, anakuwa dehydrated, homa juu, mapigo ya moyo kwenda mbio nk.
dah.......
 
Back
Top Bottom