cute junior
Member
- Dec 8, 2012
- 31
- 9
khaaaaaa!!!!! Una uvumilizu sana dada mi ningemtwanga ngumi fyuuu hana adabu kabisa
yaani mtu anakuletea dudu lake unaishia kujikunyata? Walahii angeanza iupokea kichapo kwenye bus akaishia polisi
Habari za mchana.
Hivi mvua za dar sasa zaleta mambo jamani mtoto wa watu natoka posta naenda home nimepanda daladala la ubungo halijajaza sana mie nimekaa kwenye siti ya pembeni karibu na pale wanaposimama watu.
Nipo busy na simu maana ndo kiingiza mood na kitoa mood changu.
Kuja kushtuka naona kitu kigumu kinanichoma mkononi na jotojoto khaa kuangalia pembeni kijana kasimama yaani kajisogeza mpaka kahakikisha dushelele limenishika mkononi jamani nlichofanya nikajikunyata mkono na mimi mwenyewe ili asipate nafasi jamani mhh basi likitembea likikata kona ananisogelea kabisa mpaka ahakikishe ananigusa.
Fire watu wanashuka nafasi ipo mbele hataki kwenda kukaa wala kusogea pembeni.
Nilichokifanya nikahama siti nikahamia mbele maana ningemuacha angemaliza haja zake pale.
Nyie watu mjirekebishe!!!!
umenikumbusha siku mama mmoja alitaka kuuma uume wa mbaba mmoja kwenye dala dala ya mbezi kivukoni. kisa baba alisimamisha dudu lake na kuanza kumsugua nalo mama sehemu za mkia wake. mama akahisi kuna kiatu kinagusa mkia wake kucheki ni dudu. alinyanyuka nalo mzima mzima na kumpa mapande ya maneno ya kihuni jibaba likanywea hadi likaahirisha kazini
Habari za mchana.
Hivi mvua za dar sasa zaleta mambo jamani mtoto wa watu natoka posta naenda home nimepanda daladala la ubungo halijajaza sana mie nimekaa kwenye siti ya pembeni karibu na pale wanaposimama watu.
Nipo busy na simu maana ndo kiingiza mood na kitoa mood changu.
Kuja kushtuka naona kitu kigumu kinanichoma mkononi na jotojoto khaa kuangalia pembeni kijana kasimama yaani kajisogeza mpaka kahakikisha dushelele limenishika mkononi jamani nlichofanya nikajikunyata mkono na mimi mwenyewe ili asipate nafasi jamani mhh basi likitembea likikata kona ananisogelea kabisa mpaka ahakikishe ananigusa.
Fire watu wanashuka nafasi ipo mbele hataki kwenda kukaa wala kusogea pembeni.
Nilichokifanya nikahama siti nikahamia mbele maana ningemuacha angemaliza haja zake pale.
Nyie watu mjirekebishe!!!!
Dawa yao kutembea na pini tu, akikugusa unamtovuga nayo, dudu inanywea yenyewe!!!!!!!!
Hukumtendea haki jamani! kwani shida nn si angemalizana huko ndani kwa ndani peke yake? ungempa hata namba ya simu basi ili next time mtafutaneHabari za mchana.
Hivi mvua za dar sasa zaleta mambo jamani mtoto wa watu natoka posta naenda home nimepanda daladala la ubungo halijajaza sana mie nimekaa kwenye siti ya pembeni karibu na pale wanaposimama watu.
Nipo busy na simu maana ndo kiingiza mood na kitoa mood changu.
Kuja kushtuka naona kitu kigumu kinanichoma mkononi na jotojoto khaa kuangalia pembeni kijana kasimama yaani kajisogeza mpaka kahakikisha dushelele limenishika mkononi jamani nlichofanya nikajikunyata mkono na mimi mwenyewe ili asipate nafasi jamani mhh basi likitembea likikata kona ananisogelea kabisa mpaka ahakikishe ananigusa.
Fire watu wanashuka nafasi ipo mbele hataki kwenda kukaa wala kusogea pembeni.
Nilichokifanya nikahama siti nikahamia mbele maana ningemuacha angemaliza haja zake pale.
Nyie watu mjirekebishe!!!!
sijaamini haya maneno mchana, mchana mchana hahahh ingekua usiku ningekuelewa ina maana uliona wewe tu au unataka kusema alikuona wewe tu kwa gari,, au wewe ndo ulikua chaguo lake,,,, ,, , naona kama hadithi ya kutunga vile,, sory my opinion