Recent content by cumins

  1. C

    Zitto: Ziara ya Rais Magufuli bandarini haikuwa na jipya, amefanya kazi iliyotakiwa kufanywa na Afisa wa TRA

    Kwa hiyo ile sintokuelewa ya hayo mafuta ulitaka yeye afanyeje. Mwache ajilizishe. Mimi nakushauli zzk jaribu kuchanganua uhalisi wa jambo ambalo utalianzisha wewe. Kila maamuzi ya wenzako ubunifu wa wenzako wewe ndio wewe ndio unayecorect error. Sio mbaya, lkn huwezi kujiita nguli wa hesabu...
  2. C

    Bajeti ilipokuwa Trilioni 1.1 Wizara ya Afya ilishindwa kuajiri watumishi wapya; sasa ni Bilioni 890 itaajiri vipi 8000?

    Kwani mtu kufanyiwa usahili na kuajiliwa inatumia kiasi gani? Wasipo toa ajira maneno, wametangaza ajira maneno. Taaaabkwelikweli
  3. C

    Malengo yangu kwa mtaji wa milioni tano

    Wazo zuri Plani imetulia. Nakuabalisha kitu ambacho ni muhimu sana :- mchanganuo wa hayo mahesabu yalitumia muda wa ziada wa akili yako, Yaani ulitulia na kuelekeza uwezo wako wa kufikiri. Sasa Ili hayo mahesabu yako yatimie kivitenda ongeza pesa laki 5 ya kibanda cha wewe kukaa shambani...
  4. C

    Wanaume ifikie hatua muwe na moyo wa kibinadamu jamani

    Pole sana dada. Sidhani kitendo cha kutomsaliti au kuchepuka kina mahusiano na penzi lenu kipindi mnapokuwa wawili au kumzuia yeye kuto kuchepuka. Kumbuka kabla ya mahuhusiano palikuwa na mvuto kwake kutoka kwako, Sasa jiulize are you still maintain ile kitu ambacho kilimfanya avutiwe kwako...
  5. C

    Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

    Mimi nataka unijuze kupanda ni nini? Post nyingi sana nimeziona, hakuna hata aliyeonyesha nini kupenda. Let me explain the meaning of love Love is pain Love is a commitment Love is a self sacrifice. Ukiwa na ujumlisho wa hivyo vyote kwa jumla unapata neno kupenda. Nakupa maana yake...
  6. C

    Ninatafuta vijana wenzangu wanne tuungane kulima

    Kha Soft words kama unatongoza vile, akikubali kaliwa, akikataa hupungukiwi kitu. Try again bro. Hizi sio zama zile ukiwa na meza, karatasi, computer na ac basi maisha yanakwenda. Sasa hivi tupo kwenye zama za weka niweke.
  7. C

    Arusha: Wakili Fatma Karume achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

    Sidhani kama kuna swala la vyama ktk uchaguzi huu
  8. C

    Arusha: Wakili Fatma Karume achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

    Vipi? Tume ilikuwa huru sio. Na uchaguzi huru. Embu ainisha vyama vilivyoshiriki. Alafu watu wakiwaita nyumbu mnakasirika
  9. C

    Urusi: Shambulizi lolote la Marekani nchini Syria litajibiwa

    Nyie wacheni kuongea sana. USA na washirika wake hawana history yeyote ya kushinda vita. Kila sehemu wakigusa vita huwa haimaliziki. Mrusi nchini syria ni mfano tu wa uwezo wake, imagine amepata ushindi dhidi ya watu ambao wanasaidiwa na nato +usa na kashinda. Mkumbuke ni nani aliyempiga Hitler...
  10. C

    Porojo kwamba Maendeleo ya Tanzania hayana chama ni Uongo , Zisinyamaziwe

    Kwani wanao nufaika ni chama gani? Kumbuka ukiwamba ngoma ngozi huvutia kwako, Ila wachezaji s............
  11. C

    Kakakuona anaitwaje kwa Kiingereza?

    Wamepata kutaja jina lake as per animal classification. Kwa Lugha ya English ,hakuna aliyepatia
  12. C

    Four cylinder Vs six cylinder

    Mkuu comment yako, na profile picture vinaendana. Huyo kuzungumzia gari wewe umeruka kwenye ndege, wakati wowote utarukia kwenye meli. Jaribu kuangalia kwa kina hiki kitu. Resonance in relation to number of piston with a consideration of fuel consumption . Kabla ya kukua kwa technology tulikuwa...
Back
Top Bottom