Recent content by ctl jr

  1. ctl jr

    Masogange achukua uraia wa Afrika Kusini, Sasa kuitwa Thando

    Athante yethu. Mleta thread acha ujinga nilijua kaondoka daktari bingwa kumbe muuza tigo.
  2. ctl jr

    Uturuki: Wanawake wapigwa marufuku kucheka hadharani

    Makubwa! Wangenikomesha ningekondaje?
  3. ctl jr

    Pastor Myamba afunga ndoa

    Kapewa na nani hizo hela?
  4. ctl jr

    Orijino komedi ya Masanja chali, haina mvuto tena

    Cjawahi kuchekeshwa na Ze comedy wala futuhi.
  5. ctl jr

    Tusimdhihaki Mungu kiasi hiki

    Hivi Babu zetu kabla ya kuletewa dini za magharibi na Uarabuni walikuwa wanaabudu Mungu yupi? Na kwanini sisi ndo tuletewe dini kwanini sisi tusingepeleka kwao? Japo naabudu katika dini niliyozaliwa nikaikuta lakini kuna vitu huwa vinanitatza sana. Anayeelewa hapa anisaidie.
  6. ctl jr

    Exclusive interview: Diamond na Vanessa Mdee baada ya kupata tuzo

    I wish diamond afanikiwe zaidi na wote wanaojituma kama yeye. Japo sitapata faida yoyote zaidi ya burudani kutokana na nymbo zake. Goodluck mtt wa Tandale
  7. ctl jr

    Za mwizi zimepungua sana siku hizi hazifiki 40

    Ahhhhhh kumbe nilishaelewa, yani akili zngne bana, nkajua kuna kubwaaaa kumbe hilo hilo nililohisi.
  8. ctl jr

    Ringia miguu yako myembamba dada yangu

    Mtumeeeeeeee jiwe limenipata though kila kitu changu kiko sawa. Wapi tamuu atoe ushahidi;)
  9. ctl jr

    Ringia miguu yako myembamba dada yangu

    Hahahaaahaah nimecheka hadi baci, My take, unapohljaribu kufanya description ya miguu ya mtu jaribu kuangalia mwili wake. Unaanzaje kumwambia mtu ana toothipick wakati ye mwenyewe slim? Haaaaahaah chako maliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  10. ctl jr

    Kitengo cha Propaganda cha CCM Chatumia bilioni 3 kwa Mwaka, Mikoa 12 Yafutiwa Ruzuku

    Misperception ni kitu kibaya sana nimetoa angalizo la kwamba yeyote anayeleta habari ya uzushi without evidences ashughulikiwe effectively regardless anatetea au ana critisize chama gani. Wengi tupo JF kupata habari ya yanayojiri nyumbani so don't dare think that wote hapa tumetumwa na mabwana...
  11. ctl jr

    Kitengo cha Propaganda cha CCM Chatumia bilioni 3 kwa Mwaka, Mikoa 12 Yafutiwa Ruzuku

    Mods ebu jitahidini kufanya kazi zenu, yani thread zinaletwa za uzushi uzushi mko kimya. JF tena sio pakupatia habari zenye uhakika ni uongo uongo tu unaotungwa na watu wenye njaa kali. regardless unatetea chama gani ukileta habari za uzushi inabidi ushughulikiwe. Mods angalieni hili kama na...
  12. ctl jr

    Wamama/dada zangu wafuga kucha mnawezaje kujisafisha sehemu nyeti?

    Ni wanawake wa kind gani hiyo mnainamishana njoro? Au unaishi wapi mwenzetu? Au unatembea na ma house gals? Kuna kitu kina tatizo kwenye bongo zenu.
  13. ctl jr

    Za mwizi zimepungua sana siku hizi hazifiki 40

    Yani nikielewa nitafurahi sana, na mlioelewa mbona hamtuhabarishi?
  14. ctl jr

    Kwa wasiomjua invisible ndo huyu

    Mzuri mbona
  15. ctl jr

    Za mwizi zimepungua sana siku hizi hazifiki 40

    Ndo nini jaman ebu mleta Uzi njoo huku utueleze
Back
Top Bottom