Wewe mwenyewe mleta mada huwa unapost kwenye jamii photos picha za kina dada maziwa/matiti yakiwa wazi bila hata sindiria ili hali hali ukijua wanaume wengi watatamani,na unajua kila amwangaliaye mwanamke kwa kutamani ameshazini naye,huku na wewe ni muumini wa dini si ndiyo dhihaka yenyewe?,na mojawapo uliyoposti ile uliweka heading ..saa sita kasoro robo 5:45.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
Duu naona ile picha ilikuuma mno!!! Ila ile haikuwa porn picture wale ile kabila ndo uvaaji wao BTW sijawahi kuchanganya yamhusuyo Mungu na vitu vya kiza na kama nilishawahi basi ILITOKEA TUU
Hapo ndipo unapochanganya giza na nuru neno linasema mwanamke avae mavazi ya kujisiri wewe unamwanika hata kama ni utamaduni wao,wakiwa kwao hakuna shida lakini ukimweka hapa unawafanya wengi wanajisike.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
Naam, umenena vyema, laiti ungalikuwa hivi siku zote, dunia ingalikuwa njema zaidi.
Kwa maneno yako hayo unazidi kuniaminisha kuwa kuna Mungu mmoja tu. yule yule aliyewatuma Ibrahim, Mussa, Is'haq, Yaakoub, Yesu Kristo. Muhammad na wengine wengi kuamrisha mema na kukataza mabaya.
tusihukumu tusijehukmiwa.... kila mtu anamkufuru Mungu kwa namna yake... ila tuombe rehema tu
umeongea vizuri,mdada !
Ndio mjue kuwa hizo iman za kupokea hasa toka middle east ni ideas za wajanja walikaa na kutunga. ONCE YOU DIE EVERYTHING IS OVER ABOUT YOU! I STAND TO BE CORRECT!
Hivi kuangalia picha za ngono ni dhambi?
Mtu anajifunza staili ya kumgegeda mkewe ama kuchezea dushelele la mumewe,tena mnaangalia wote.
Mungu anabebwa moyoni na Rozari na Kanzu ama barakashia,umepitoka mtoa mada.
Stika haimbebi Mungu,ingekuwa hivyo basi wasomali wa alshabab na waafghanistan wangekuwa wa kwanza mbinguni,
Mungu anaangalia moyo.
Picha za ngono zinasaidia,mara nyengine kuna staili rahisi ya kugegeda mkeo hata kama anaendelea kupika,kudeki bila kusimama,utajulia wapi?
Kama mkeo yupo ofisini,ww umepata safari ya ghafla,unampitia ofisini si lazma muende gesti kwa kifo cha mende,kuna staili moja unampiga cha pembeni,hiyo ipo uchagani wacha kabisa.
na katika dhambi zote hizo bado Mungu anasamehe na tena wala hakumbuki makosa na zaid ya yote hugairi mabaya.
Mungu ni neema, amejaa huruma , si mwepesi wa hasira, ni Mungu wa rehema naye hughairi mabaya.