Orijino komedi ya Masanja chali, haina mvuto tena

Ili kundi la kuchekesha mm naona halina jipya , ukiangalia wachejedhaji wengi wamenenepa hadi basi na Talent imepotea kabisa kwa sasa wamebaki FUTUHI tu, maoni yako maana nafikiri bado wana wazo la kutoka kwa kutegemea hii fan
 
Kwani hiki kipindi cha ze komedi bado kipo..??!
 
Ili kundi la kuchekesha mm naona halina jipya , ukiangalia wachejedhaji wengi wamenenepa hadi basi na Talent imepotea kabisa kwa sasa wamebaki FUTUHI tu, maoni yako maana nafikiri bado wana wazo la kutoka kwa kutegemea hii fan

Mbona huko futuhi ndio kuna vibonge kuliko comedy!
 
Futuhi wako vizuri.Hawa wengine Manji alishachukua nyota zao wamebaki historia na vitambi vyao

MASANJA amelewa sifa amesahau alipotoka sasa amebaki kupiga picha na Vx Mara nyumba Tabata na kukesha Facebook akijisifia ! Vichekesho ni Kama hajali tena .
 
Futuhi wapo vizuri japo Nao wamenenepeana hovyo lakini wanaithamini kazi yao,hao the comedy baadhi bado wanachekesha lakini wengine sasa uwezo umefikia kikomo baada ya kupata Pesa za Tanapa wamejisahau Kuwa wanapaswa Kuwa wabunifu zaidi.
 
Hivi wameshaonesha chochote kuhusu katiba mpya au escrow account? Na Brn je?
 
Hivi karibuni takribani mwaka huu wote hadi tulipo leo TBC1 na Komedi ya Masanja, Choti etc haina mvuto kabisa kwa watazamaji kiasi cha watu kukimbilia EATV kule kwa bambo ambao wanaonekana kuziba pengo la kifo cha mende cha komedi ya kinaMjuni.

Utafiti usio na gharama kubwa kwenye maeneo ya starehe wadau wamekuwa wakiomba sehemu za bar kuhamisha chanel kutoka TBC1 kwenda EATV ili kupata ujumbe wenye maudhui ya kuelemisha, burudani na vichekesho.

Ni dhahiri Masanja na wenzake ama wamekwisha au ndo uongozi wa TBC1 umeshindwa kuwasaidia inavyohitajika ili kuendelea kukalia usukani wa komedi TZ; Ni ama warudie kwenye fomu au tuwaage rasmi ktk fani hiyo na tuwakaribishe makundi yenye ujumbe na kuelimisha wakati ujumbe unafikishwa kwa kutoa burudani EATV/StarTV-Futuhi japo hawako serious sana na kazi pia.

Mlitulisha mua sasa ni wakati wa kutema makapi ya mua, hakuna utamu tena.

Lipo Jambo na Kuna Tatizo.
 
Ili kundi la kuchekesha mm naona halina jipya , ukiangalia wachejedhaji wengi wamenenepa hadi basi na Talent imepotea kabisa kwa sasa wamebaki FUTUHI tu, maoni yako maana nafikiri bado wana wazo la kutoka kwa kutegemea hii fan

futuhi ndio hamna kitu kabisa
 
Kipaji bila shule ni sawa na nyumba yenye tiles lakini haipigwi deki,tiles haziwezi kuonyesha mng'ao wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom