Bravo Zitto my friend,i am always proud of you!way to go......!
Ni aibu sana kwa waziri mkuu kuendelea kutoa majibu yasiyo na maana katika mambo nyeti yahusuyo mstakabali wa nchi!waziri mkuu hajui kwa nini wananchi wake ni masikini,waziri mkuu hana taarifa ya CAG inayohoji ubadhilifu wa...
Pasco hapo kwa red umesema vema kabisa!na hii ndio sababu haswaa ya watu kumfikiria vibaya Zitto kumbe ni vile tu hawamuelewi.niliwahi kusema hapa kuwa mimi sijawahi kupoteza imani kwa Zitto sababu namuelewa na najua ni kiongozi makini.nikashambuliwa!ila pole pole watamuelewa tu.
habari wapendwa wanajamvi,
naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao karibu na wote wananipenda na wameonesha nia ya kuwa na mimi zaidi ya urafiki.i can't decide who to...
Naomba utoe ushahidi wa usaliti wa Zitto,tatizo watu kama wewe hamumuelewi Zitto na mindset yake.he is different,he does not share a common mindset na watu wengi na ndio maana mnamuona msaliti and all that,ila truth ni kwamba Zitto is a great leader na true revolutionary who speaks his mind and...
Nimekupata Kagemro, namfahamu Zitto,pamoja na kuwa mtu mwenye utata, lakini his strong suit ni kuwa kiongozi muwajibikaji na ni mzalendo.nashukuru kwa kuniunga mkono na kwa rai uliyotoa kwa Zitto, amepata ujumbe coz nimemuona akibrouse hii thread!pamoja!
Kagemro mimi naamini anafanya haya kwa maslahi ya taifa na si binafsi.tatizo tulishajenga imani ya "Zitto anatumiwa na CCM" na hatutaki kubadili fikra hizo kwa lolote lile hata Zitto angefanya nini.labda alitumiwa mimi sijui lakini cha msingi ni kumuunga mkono pale anapotetea maslahi ya taifa,je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.