Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

katika uchaguzi uliopita kuna madai kwamba huyu chitambala alipewa 600m na ccm , nadhani alikuwa anatafuta muda muafaka wa kutoka . lakini wazo la kuibomoa chadema sahau watanzania tumebadilika.

Chitambala umepotea njia
 
We sema2 unataka ka umaarufu humu JF. Hoja Zitto hapa 2shazichoka na hatuzitaki. Naomba atakayesoma reply yangu ampuuze mleta hoja na asicomment chochote, ili mwisho kapost kake kawe mbali kwenye page na kukaweka front page niku2potezea muda wa kukasoma haka kapost. Mods hubu ka2pien kwenye dustbin.

Egyptian....those are your personal opinion..to me and I believe many others know that Zitto is also the brains behind Chadema...

Zitto has made many a bold decision and stand by them...to me I respect him for that and value his contribution not only to CDM but also to the country and more so to our energy sector

If he had erred by siding 'with the enemy' tht is his personal weakness and trait which many of us exhibit albeit unknowingly...

Zito...if u r reading this thread...know that u r not a bad apple and some of us truly admire and respect ur contributions to this country

Mhandisi
 
Hana lolote.Chama hakijengwi na mtu,chama kinajengwa na fikra pevuko za watu.Msomi mwenzangu Shitambala ameshapoteza dira.....hafai hata kuwa Katibu Kata.Huruma kweli!
Wazee mbona muna hasira? Mbona hatukusikia haya mlipo mpokea Prof. Safari? Akihamia poa, akihama noma? Acheni hizo!
 
Nyamgluu hongera kwa kuona na kupongeza, haijalishi mtu ni mzuri au mbaya kiasi gani kama amefanya jambo jema daima anapaswa kushukuliwa na kupongezwa, acheni wivu wa kijinga mlio wengi mmeipenda CDM kwa ajili yake na michango yake iweje leo mnamdhihaki?
 
Sitaweza ku post link kwasababu na-post via mobile. Atakayeweza kuweka na aweke.

Tanzania Daima leo imemnukuu Zitto akisema Shitambala kajiua kisiasa kwa kujiunga kwenye chama (CCM) kinachokufa!
I can confidently claim this is his boldest statement in a loooong time. Why now Zitto?

Inanifanya nifikiri kua kweli ulianza uswahiba na mafisadi sasa umeona wanaporomoka ndio warudi nyumbani kama mwana mpotevu?

Sikushutumu maana sina ushahidi, ila i'm tryin to put 1 and 1 together.
Nyamgluu, nadhani sio wewe tuu ambaye amekuwa hamwelewi Zitto, wengi tuu wanashindwa kumwelewa, kwa sababu unahitaji kuwa na kichwa cha level fulani ya uelewa kuweza kumwelewa huyu jamaa Zitto!.

Mhe. Zitto, jishushe zaidi ili ufikie level ya kueleweka na sisi wananchi wa kawaida wakiwemo wale wachuuzi wa samaki pale Ferri!. Kama unadhani kwa kukaa kimya humu jf, ndio utajiepusha na kuto eleweka vizuri, you are wrong. Rudi tuu kundini, wanaokuelewa watakuelewa na wasio kuelewa, watakuelewa baada ya matokeo kama lilivyo suala la Dowans uliposhauri tuinunue mitambo, watu hawakukuelewa, sasa tunalipishwa tozo ya Bilioni 94, wa kuelewa wanaa kukuelewa kwa matokeo. Rudi kuwa active jf!

Pasco.
 
Muacheni Zitto afanye mambo, Zitto ni kichwa bungeni pale na hasa sasa ambapo CDM ina wabunge wengi wasioumiza vichwa. Kwa hiyo thread za Zitto hapa za kumchafua hazina maana achaneni nazo. Mod njoo ung'oe hii
 
Wana jf naomba kuwauliza kwanini zitto?kila napoona thread ya mtu aki comment postive kuhusu zitto watu wanakashifu na kumkosea heshima?

Naamini na nitaendelea kuamini hivi - heshima kubwa iliyo nayo cdm mbele ya watanzania kwa mchango mkubwa ni kwa ajili ya zitto, wangapi mlikuwa wanachama au mashabiki wa cdm kabla ya zitto kuwasha moto katika bunge la tisa?wangapi mlikuwa mnaikubali cdm kabla ya zitto kuonyesha msimamo thabiti mpaka kufukuzwa bungeni katika kashafa ya buzwagi? Hebu kuweni waungwana na mpeni heshima yake jamani

wengi mnamuona zitto mbaya toka alipotaka kugombea uenyekiti wa cdm , ila si ametumia haki yake ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa?mnamuona mbaya pale anapotofautiana mitazamo na baadhi yetu- ila mitazamo tofauti daima ni manufaa ya chama kama daima mnakubaliana hamuwezi kuwa na jipya
 
.............................Bw. Shitambala alisema kuwa kutokana na kuwa mpiganaji na msomi wa sheria alishangaa kuona viongozi hao ambao wengi wao ameshiriki kuwapa ubunge wakigeuza ajenda na kuamua kuanzisha maandamano nchi nzima na kutoka nje bungeni wakati Rais Kikwete akihutubia hali ambayo alisema ni utovu mkubwa wa nidhamu.[/COLOR][/SIZE][/FONT]

"Hatukukubaliana kufanya maandamano ya kuvunja amani wala hatukuwatuma waende wakatoke bungeni na kisha kurudi ukumbini kwa kujadili hotuba ya rais, nawaambia ndugu zangu hii ni sababu kubwa iliyonifanya nikaamua kuondoka katika chama hicho.


Alisema kuwa CHADEMA ni chama chenye watu wasioweza kufikiri kwa haraka kutokana na ukweli kuwa Watanzania wanazo akili za kutosha kujitambua na kutoyumbishwa wala kuamuliwa juu ya amani ya nchi yao.

Msomi: Hivi ukiwa na digrii ndio unakuwa msomi?? Nini maana ya msomi?? Maana kama usomi ni kuwa sawa na huyu bwana basi hapatakuwa na motivation ya kusoma.
Sababu kubwa: Napata shida kuamini kwamba huyu ndugu amehama chama kwa sababu ya maandamano ya amani kanda ya ziwa na kwa chadema kumtosa JK. Hapa wenye kusema kuwa amekula mlungula ndio wanapata nguvu
Chadema hawafikiri: Kwa kipindi alichokuwa Chadema na yeye alikuwa hafikiri?? Ni kwa nini demu awe mbaya pindi mmetosana?? Nitashangaa kama wasikilizaji wake walishangilia
Watanzania wana akili: Sipendi watu wawasemee watanzania. Mnyika au Mbatia akiongea atasema "watanzania wana akili", Makamba au Tamwe Hiza nao walikuwa wakisema hayo hayo. Ni "akili" ipi mnayoisema watanzania wanayo maana haiwezekani Shitambala, Tambwe, Makamba, Mnyika au Lema wakamaanisha kitu kilekile.
 
Kuandika kwa vifupisho humu kunakera! Unaokoa muda gani kuandika 2 badala ya 'tu' ? Hayo mambo ya facebook na sms za cellular phones si ya kuyapeleka popote. Changia hoja, andika neno zima lote, hakuna haraka hapa!

haswa mkuu, inkuwa kero sana maana kuna wengine tunaingia humu tukishasoma na tukiona kitu kina mashiko tunawatumia na wazee wetu lakini kama mtu anaandika kama sms inakuwa inaleta shida kidogo hasa kwa watu tunao forward hiizi data za humu, naomba member wenye tabia ya kufupisha maneno humu waache ili wasomeke maana humu sio fesibuku.
 
Wana jf naomba kuwauliza kwanini zitto?kila napoona thread ya mtu aki comment postive kuhusu zitto watu wanakashifu na kumkosea heshima?

Naamini na nitaendelea kuamini hivi - heshima kubwa iliyo nayo cdm mbele ya watanzania kwa mchango mkubwa ni kwa ajili ya zitto, wangapi mlikuwa wanachama au mashabiki wa cdm kabla ya zitto kuwasha moto katika bunge la tisa?wangapi mlikuwa mnaikubali cdm kabla ya zitto kuonyesha msimamo thabiti mpaka kufukuzwa bungeni katika kashafa ya buzwagi? Hebu kuweni waungwana na mpeni heshima yake jamani

wengi mnamuona zitto mbaya toka alipotaka kugombea uenyekiti wa cdm , ila si ametumia haki yake ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa?mnamuona mbaya pale anapotofautiana mitazamo na baadhi yetu- ila mitazamo tofauti daima ni manufaa ya chama kama daima mnakubaliana hamuwezi kuwa na jipya

Hamchoki tumesema mambo ya Zitto basi
 
Sambwee ipo ufwile fwa. ilile huliwe iyo. nganga uiga wewe watitwalile huchadema! pole sana. Tili ni njele zyetu ngashee yi sukulu nati timanyile sana hata azidi iwe. Halafu uleshe amahelu. vasi waizengile ichadema! enya itunga!
 
jAMANI hayo ni maoni yake yupo huru kutoa maoni,hakuna wa kumzuia Mh Zito ktk kutoa maoni,lakini pia hatuwezi kumjaji mtu ama kumsemea mtu kwa jambo fulamu tusilikuwa na uhakika nalo,tumwache Kijana Mh Zito afanye kaze zake na pia aendelee kutoa maoni kadri afikiliavyo na aonavyo tusitake kumziba mdomo
 
Pole sana zito, kwa sababu ndani ya chungu kuna moto, na nje kumejaa barafu sijui uende wapi.....
 
Shitambala jaribu kufikiri kwa kutumia ubongo wako. Kuna udhaifu mtu mmoja mmoja katika chama lakini kuna udhaifu wa wazi katika mfumo mzima wa Chama. Wewe Chama (CDM) ulichotoka kinamwelekeo zaidi kuliko hicho (CCM) ulichoenda ukiwalinganisha kwa suala mfumo.

Ni wazi kuwa juzi umetoka Dodoma na umepokelewa na CCM wamekupokea. Ukianagalia kilichokuwa kinafanyika Dodoma kuhusu kuwatosa mafisadi katika CCM, wewe unadhani unachokisema kwamba kinafanyika CDM kumbe kinafanyika CCM.

Kwa uelewa wangu ulituhumiwa kule Mbeya kwa kukihujumu CDM lakini bado uongozi wa juu wa CDM ulikutetea(pengine ili wapate nafasi ya kuthibitisha yaliyosemwa). Baada ya muda unakwenda CCM bila kusema sababu za msingi za kuondoka CDM. wewe kama mjumbe wa vikao vikuu vya Chama uliwahi kulalamikia suala lolote kati ya hayo unayosema leo?

Wewe ukitaka kuachana na CDM uondoke zako kwa salama lakini usiendelee kujifanya utaibomoa CDM. Kama watu walishakushtukia kwamba wewe ulikuwa mamluki wa CCM ulikwenda CDM na leo umethibitisha hilo unaporudi tena kwa watu wale wale na kueleza huo upuuzi utaeleweka?
 
Shitambala anadhani kuwa watu wanaandama kwa sababu ya kilichosemwa na Chadema bali wanaandama wakidai haki zao kwa njia hiyo. Kama Shitambala unadhani mawazo yako ni ya maana nenda kajaribu kuwaambia kuwa waandamane kwa kukuunga hoja mkono kama hutashangaa
 
Mambo ya Zitto jamani inatosha! Nimesema kuna watu wanataka umaarufu kupitia jina la Zitto.Sasa mada juu ya Zitto zinatosha kwani kama kuchafuliwa imekuwa too much!Hana mazuri tukamsifia? Leo hii ni thread ya pili ya Zitto! Jamani hii inatosha!
 
Nyamgluu, nadhani sio wewe tuu ambaye amekuwa hamwelewi Zitto, wengi tuu wanashindwa kumwelewe, kwa sababu unahitaji kuwa na kichwa cha level fulani kumwelewa huyu jamaa.

Mhe. Zitto, jishushe zaidi ili ufikie level ya kueleweka na sisi wanachi wa kawaida wakiwemo wale wachuuzi wa pale Ferri!.

Hahaha Pasco,kuna usemi wa kiingereza nimeusahau kidogo ila kwa tafsiri nyepesi ni "mjua yote si mjua lolote" so frankly I can't claim to have Zitto's political expertise even on a cellular level,but that doesn't disqualify me from questioning a prominent political figure like him.
So kweli tunaomba ajishushe hadi level zetu wengine! Lol. Tusi lako limeenda shule.
I think sometimes it could be necessary yeye kujibu hata speculated accusations
 
Nyamgluu, nadhani sio wewe tuu ambaye amekuwa hamwelewi Zitto, wengi tuu wanashindwa kumwelewe, kwa sababu unahitaji kuwa na kichwa cha level fulani kumwelewa huyu jamaa.

Mhe. Zitto, jishushe zaidi ili ufikie level ya kueleweka na sisi wanachi wa kawaida wakiwemo wale wachuuzi wa pale Ferri!.

Pasco hapo kwa red umesema vema kabisa!na hii ndio sababu haswaa ya watu kumfikiria vibaya Zitto kumbe ni vile tu hawamuelewi.niliwahi kusema hapa kuwa mimi sijawahi kupoteza imani kwa Zitto sababu namuelewa na najua ni kiongozi makini.nikashambuliwa!ila pole pole watamuelewa tu.
 
Back
Top Bottom