Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

There are currently 190 users browsing this thread. (71 members and 119 guests)
Yaan huku bunge linaendelea Zitto yuko JF, Je kweli tuna wabunge?

we kweli kiazi!! dunia ya leo watu wako mtandaoni 24/7... kamwulize makinda uwezo wa zitto compare na hao vilaza wa kijani utapata jibu
 
Ni upumbavu kuwafunga watu midomo eti kwa sababu tu hawajui lugha fulani. Ni watu wajinga tu ndo wanaoweza kupitisha sheria inayosema lugha ya mawasiliano iwe lugha wasiyoijua. Kwa hili sishabikii. Narudia tena kusema, ili Tanzania iendelee tunahitajia Kiswahili na lugha nyingine za makabila tu! Ni upuuzi kulazimisha tuongee Kiingereza wakati watu waliopo kilomita 20 kutoka Dodoma mjini hawaelewi Kiswahili chenyewe. Ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kuwawakilisha watu kwa kuongea lugha wasiyoijua. Sioni mantiki yoyote. Mamikataba yote mabavu yametokana na vilaza wetu kutojua lugha ya Kiingereza.
Tujifunze kwa waarabu, mikataba kwa Kiarabu, mabunge yao wanaendesha kwa Kiarabu. Sisi Kiingereza, Kifaransa, Kireno, Kihispania. Ni aibu. Hatuna siri, hatuna utamaduni. Tunahaha tu. Narudia tena kuandika miswada, kuongea Kingereza bungeni, kuongea kiingereza kwenye mikutano ya kimataifa ni ukosefu wa akili!
 
Kuna mgombea kila akiulizwa swali anadai hakusikia, nadhani ana mapungufu ya kusikia
 
kilichotokea bungeni Tanzania leo (nilichokishuhudia)..ni UTOTO..! jambo dogo tu la kutengua kanuni linaleta aibu kuu.!mmmmh! mimi Sitaki!
 
we kweli kiazi!! dunia ya leo watu wako mtandaoni 24/7... kamwulize makinda uwezo wa zitto compare na hao vilaza wa kijani utapata jibu

ZItto hatakuwa hayuko serious na kazi yake

Haiwezekani sa 4.22.10 bunge linaendelea huku yeye yuko busy na simu
 
In English, there is no such thing as "Dark Market". So much ado about nothing.

DarkMarket

From Wikipedia, the free encyclopedia


For secretive, unregulated trading in commodity futures, see dark market.
DarkMarket was an English-speaking internet cybercrime forum created by Renukanth Subramaniam in London and was shut down in 2008 after FBI agent J. Keith Mularski infiltrated it using the alias Master Splyntr, leading to more than 60 arrests worldwide.[1] Subramaniam, who used the alias JiLsi, admitted conspiracy to defraud and was sentenced to nearly 5 years in prison in February 2010.[2]

The web site allowed buyers and sellers of stolen identities and credit card data to meet and conduct criminal enterprise in an entrepreneurial, peer-reviewed environment.[3] It had 2,500 users at its peak.[4


Let us help you think, for you can't think for yourself. Soma na hii ulinganishe na mazingira ya kamati ya bunge husika, upate kujivua gamba:

What Does Black Market Mean?
A type of economic activity that takes place outside of government-sanctioned channels. Black-market transactions typically occur as a way for participants to avoid government price controls or taxes, conducting transactions 'under the table'. The black market is also the means by which illegal substances or products - such as illicit drugs, firearms or stolen goods - are bought and sold.
 
Hawa legislators wa CCM wanapokuwa sehemu moja basi ni mambo ya ki-HALLOWEEN tu. Unapochanganya na kituko ambacho ni Anna, sidhani kama kuna la ajabu hapo. Mengi yataendelea kujitokeza kwani ndo za Halloween zilivyo, yaani the time when ghosts and witches can be seen
 
Kilichotokea leo bungeni kwa Mh. Wenje kulazimishwa kufuta usemi wake kimemtia aibu sana mbunge huyu, kwani ameonekana ni mtu asiye na msimamo na ni muoga pale anapo kemewa, na hasa pale alipoambiwa kuwa atatolewa nje ya bunge, kama si hekima na busara za Zitto za kumuomba Mh. Spika amvumilie hakujua asemalo kwa kuita kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa ni ‘black market' . Hii imemshushia sana hadhi yake !

Ni maoni yako,lakini kama umesikiliza mantiki ya hoja ya Wenje nadani ilikuwa sawa.
 
HILI SIO JUKWA LA LUGHA OMBA MSAADA,WE MWENYEWE UNAHITAJI MASOMO YA ZIADA YA KIINGEREZa

Wewe hata Lugha yako ya mama inakushinda/huelewi.Hili ni jukwaa la Siasa ambalo linajadili tatizo la lugha kwa wabunge wanaogombea nafasi za kutuwakilisha nje ya Tanzania
You just want to argue blindly, this is a chat-zone/forum, where people just use any slang and say anything
My friend, I seriously want you to re-think this analogy you are attempting to make.I am not talking about accent/speaking style - simply basic grammar and correct pronunciation. It isn't too much to ask, is it?
 
Lakini ujumbe wake ameufikisha uliokotaka kupelekwa kuwa Spika na Kamati yake ya Uongozi ina kasoro.
 
Na alipofuta na kusema 'white market'?

Kwako msimamo ni kutokukubali ukikosea? Kwa hiyo ungemuona ana hadhi sana kama angegoma kufuta kauli na kisha kutolewa nje?

Ungesema amejishushia hadhi kwa kutumia 'black market' kidogo ningekuona una hoja ambayo si sahihi. Hapa hauna kabisa hoja!
 
Back
Top Bottom