Malafyale
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 13,813
- 11,126
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya UMMA(POAC) Mbunge Zitto Kabwe leo katupasha habari 2 za kusikitisha sana sis Watanzania;
Mosi;Tanzania lost USD 308m(Approx billion 450 in TZ shilling) as tax revenue from sale of Zain Africa assets in Tanzania to bhartel. Kasema wazi kuwa Source ni TRA
Pili;Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mama Mwangunga na baadae Waziri Maige bila kufuata sheria halali zilizopitishwa na bodi ya Wakurugenzi wa TANAPA wakaingiza sheria zao binafsi na kuikosesha Tanzania zaidi ya shilling bilion 19
Kwa nini Mawaziri wana nguvu ya kusamehe kodi ktk serikali ya Tanzania?Hizi ni pesa nyingi sana na wabunge wa upinzani wasiache ripoti hii ipite hivi hivi!Kutokusanywa kwa mapato mengi kama haya kunatufanya watz wote kwa ujumla bila kubagua itikadi zetu za kisiasa kukosa huduma muhimu za kimaendeleo na kijamii!
Kwa mtindo huu wa kila Waziri ktk serikali hii kuwa na nguvu ya kusamehe kodi;hadi kupata katiba mpya mwaka 2014 Tanzania itakuwa si imefilisika?Ndugu Watanzania je tusubiri hadi mwaka 2014 au kuna lolote tunaloweza kufanya kuzuia madudu haya?
Dondoo za Chanzo cha habari hii ni Page ya Zitto kabwe ktk Facebook na Gazeti la Citizen(25-03-2011)