In love with two guys...advice please! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

In love with two guys...advice please!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Crystal, Apr 6, 2011.

 1. Crystal

  Crystal Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari wapendwa wanajamvi,
  naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao karibu na wote wananipenda na wameonesha nia ya kuwa na mimi zaidi ya urafiki.i can't decide who to be with.i have strong feelings for them both na i can see myself spending the rest of my life with both of them.hivi is it possible to fall for two people at the same time???nisaidieni jamani maana i am in dilemma na inaniumiza sana.nimeshindwa kuchagua mmoja sababu nawapenda wote sana!
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ukuti ukuti
  wa mnazi wa mnazi
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naona maombi ya wana JF yameshaanza kutiki. Tayari wawili wa waombaji maombi yao ni Bien.
  Waombaji tupeni mrejesho.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hebu acha ngonjera zako na kuleta sanaa kwenye nyumba ya sanaa
   
 5. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  HTML:
  
  
  If and only if you think you can handle both, then go ahead, vinginevyo chagua yule atakayekuwa wa kwanza kufanya na wewe mahusiano kama unadhani kipimo chako cha mapenzi juu yao kiko balanced.
   
 6. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ss best unauliza swali!! unaomba ushauri au!!! maana mm sielewi

  katafute ule wimbo wa Lady Jay dee "usiusemee moyo"

  mwenyewe unamajibu moyoni mwako, maana mm ninachojua Mungu hawezi kukuacha njia panda hata siku moja!!

  Tunaye msaidizi ambaye ni roho mtakatifu ambaye ni mshauri wa ajabu anaweza kukusaidia lkn si sisi wanadamu wenzio.
   
 7. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  try them both n in the process you will get to decide who wins the contract, ....i mean go beyond what the eyes can see:tape:
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hamjakulana Tunda? Chukua ambaye ni dhaifu kitandani!
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ingalao angetuambia mmoja anampenda toka moyoni mwingine anamtamani kwa visenti vyake ningemshauri jambo
   
 10. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  hapo kene red, sasa we mwenyewwe unatuchanganya, sisi tulidhani kua ndo tutarifaa kwoko kua its possible ila wewe tena unatuuliza kama ni possible while umeshasema ua in love nao wote kwa same time.
  We sikia bwana, hilo swali la kwene red ni ishara ya kua kuna mmoja unampenda zaidi, sema labda yeye anakosa material influences ukimlinganisha na yule unaempenda kidogo.

  Ushauri wa msingi ni kua haya mabo hua hayahitaji doubts.hakikisha unaemchagua kati yao ndie moyo wako unaempenda kwa dhati.
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red how come you fall in love with them then? Ndio maana unashindwa ku-make decision. B'se ukianza nao uhusiano wa kimapenzi, you will only fall in love with one of them, unless you're looking for a three some.
   
 12. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Haiwezekani kupenda watu wawili kwa wakati mmoja na wote ukawapenda sawa kiasi cha kushindwa kuamua. Usiwapotezee muda vijana wa watu na uache sanaa. Penzi la kweli kamwe haligawanyiki.
   
 13. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Dah...!

  Lakini mbona mtihani mdogo tu unatosha kukuletea wewe majibu sawia...? Fuata maelekezo kama ilivyo hapa chini...!

  1. Mjulishe kila mmoja kwa wakati wake the way you feel to the other one, na ujaribu hata kuongeza chumvi kuwa tayari una mahusiano na mipango ya maisha imeshawekwa....!
  Kwa taarifa hiyo, mcheki kila mmoja atakavyoreact, kwa kuobserve kama ifuatavyo;

  1. Yeyote kati yao atakayeonesha kuendelea kuonesha kukutaka basi ujue huyo si mwema kwako, na hivyo ukae mbali naye daima.... Mara nyingi huyu utakuna haumii sana na taarifa ulizompa.....
  2. Lakini yule atakayepokea taarifa hizo kwa masikitiko, lakini kwa kuheshimu, na bila kuvunja urafiki uliokuwepo toka awali basi mimi naamini ndiye anayekufaa...!
  3. Taarifa hii inaweza kumpatia kila mmoja nafasi ya kuwa muwazi kwako na kukueleza kama naye amekuwa occupied...! Hivyo, kukupa some alerts juu ya maamuzi yako....
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huyu atakuwa mmoja anampenda mwingine anamtamani
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  I am failing to understand you at the same time unasema you cant decide who to be with halafu hapo hapo unasema you see yourself spending the rest of your life with both of them:bored::bored::bored::bored:
   
 16. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Fanya ana ana ana doooooooo..... kajamba........ ushuzi unanuka......... tena sana............. sana kaabisa.............. Wakija wote NJOO KWANGU.........
   
 17. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Umewahi kujiuliza ni kwanini unawapenda wote kiasi kwamba huwezi kumchagua mmojawapo kuwa nawe?Ukipata jibu la swali hilo ndio unaweza kuja hapa na kuuliza wana JF wakupe ushauri,maana unaonekana bado unafanya mchezo wa kirafiki na ujana ndani yake.
  Na ukiona hujapata jibu basi utalipata jibu baada ya hao wapenzi wako kukuchakachua na natumai utakuja tena hapa kuomba ushauri baada ya kuumizwa.Kuwa makini katika kuishi kwa kuwa na maamuzi yasiyokuwa na chembe ya ubabaishaji na uwe na msimamo wa nini unaamini.
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mtoto mzuri katika hao wawili yupo unayempenda zaidi
  Hebu kaa tafakari na amua
   
 19. N

  Nonda JF-Expert Member

  #19
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Crystal,

  Wewe ni mwanaume au mwanamke?

  Kama ni mume basi tamaduni za kijadi za kiafrika au waislamu wana"RUKSA" ya kuoa zaidi ya mke mmoja.

  Kama ni mke, itakupasa uhamie India huko mke pia "RUKSA" kuolewa na waume wawili.

  Option ya pili kama ni mke, ni mtindo wa Kibongo wa wanaume kuwa na mke na nyumba ndogo. Itakupasa ugeuze kibao tu. Uolewe na mmoja na mwengine ni "Nyumba ndogo"....hili at your own risk!

  Kama lengo ni kubaki na mmoja tu kati ya hao wawili.Kama ni kuolewa na maisha bila hela kuwa kichochea, wajaribu...atakaekubamiza vizuri..umpatie tenda.
   
 20. P

  Pokola JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Chunga tamaa mbayaa ... 20%
   
Loading...