Recent content by Cryptomaniac

  1. C

    Wanaume tunateswa sana na mabinti tukiwa masomoni

    Starehe gharama dogo unataka kununua vogue wakati hela ya mafuta hauna... soma kwanza starehe utazikuta baadaye kwani upo chuoni kusoma sio kugegeda ngurudoto ww...
  2. C

    Wanaume tunateswa sana na mabinti tukiwa masomoni

    Usilie sana dogo tuombe magufuli apunguze mfumuko wa bei.. inflation za hela za wizi ndio zilisababisha bidhaa kupanda bei.. In Magu I Trust!
  3. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Humu ndani kuna wateja wengi aisee... ngoja nidundulize nifungue duka la kubeti soon.. wajinga ndio waliwao.. Napita tuu...
  4. C

    Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

    Acha niamini ya kale kwamba vichaa wapo wa aina nyingi ila psychopath ndio wa kuogopwa zaidiii.. Just passing by!
  5. C

    Kwanini wasomi wa Tanzania wana tofauti kubwa sana na wasomi wa Kenya?

    Kwani hamuoni hii mpaka sasa. Facts ya kwanza.. wanapata confidence kwa sababu watz wanaamini kwamba wanaweza kutokana na mazingira waliyokulia au wanayokaa kwa mfano wangapi humu wanaamini kwamba Mr Sugu au Zito Kabwe hawezi kuwa waziri mkuu zaidi ya January au Ridhiwani.. You see, confidence...
  6. C

    Kwa hili Kikwete ulikosea sana na sijui tukueleweje

    Hii mada ni nzito ila ukweli bado upo pale, kama angekuwa anataka kuimarisha jeshi la polisi kwanini hakununua yale magari mapema kabla ya uchaguzi kukaribia.. Kwenye hili amiri jeshi mstaafu ilinidi awaombe radhi watz wote kwani imeonyesha kwamba motive yake ilikuwa more on a personal interest...
  7. C

    Kwanini wasomi wa Tanzania wana tofauti kubwa sana na wasomi wa Kenya?

    Na pili kinachosababisha watu wengi kutokuwa na confidence ni kwamba wa-tz wanapenda kuangushana na kuwekana chini hata kama mtu anafanya kitu kizuri, anaweka jitihada au anajituma (tunaita bullying). Facts ya hii hapa inapatikana hapa hapa JF kwani kuna watu ambao wao ni natural wakosoaji...
  8. C

    Kwanini wasomi wa Tanzania wana tofauti kubwa sana na wasomi wa Kenya?

    Confidence ya mtu haipatikani kwa kusoma mkuu bali ni kutokana na mazingira yanayokuzunguka kuanzia mashuleni, majumbani na uhalisia wa mambo.. sasa kwa mfano umepata degree na kazi kwa kuvua chupi au kuonga pesa confidence itatokea wapi hapo au peponi? Umenikumbusha yule jamaa aliyesema...
  9. C

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Chembe chembe ndio hizo zimeanzishwa Zanzibar na Pemba...
  10. C

    Kulikoni President Yoweri K. Museveni katika hili

    Jamaa mwenye washauri 12 ambao yeye ndio ana washauri muda wote!! Lejendari Kaguta!!
  11. C

    Mgonjwa ampigia Saluti Rais Magufuli!

    Hivi naomba kuwaliza wadau wa humu JF, kuna watu uwa wana allergy na constructive criticism? Wote ni watu wazima na ni lazima tuelewe kwamba sometimes inabidi tu-agree kudis-agree kwani kila mtu ana uwezo wake wa kufikiri na namna yake anavyofikiria na ndio maana kuna wakati tunakuwa tunawaza na...
  12. C

    Je Mag250 ni suluhisho la wapenda soka na sinema kupitia IPTv

    Habari za jioni ya leo, Jamani wadau naomba maoni yenu kuhusiana na hii bidhaa ya king'amuzi kupitia internet (IPTv) cha Mag250. Je, kwa wale ambao mmewahi kukitumia king'amuzi hiki kupitia mitandao ya 3g na 4g vipi nguvu yake ya katika kustream video? Na je ni bora zaidi ya CCcam Decoders...
  13. C

    Astra 2E (28.2) Inapatikana Kwa Dish Lipi

    Habari za leo wadau.. Naomba kuuliza kama kuna ambaye anaweza au amewahi kuweza kupata Transponder ya Astra 2E (28.2 degrees east) kwenye dish lolote. Kama amewahi anaweza kunijulisha ni dish gani alilotumia au ni ukubwa upi na LNB ipi itafaa? Asanteni sanaaa na nitashukuru na kuheshimu mawazo...
  14. C

    Maalim Seif: Haturudii Uchaguzi

    Daah.. Maalim ukishindwa mwaka huu naomba ustaafu tu maana hakuna namna!
  15. C

    The 500 Influential Tanzanians under 45yrs who are changing the world

    Daaah naona tunachanganya madini kwangu mie nawaweka hawa.. Salama Jabir Mkubwa Fella Madam Ritta Mwana FA Scubba yule Mpemba wa vitu vikali.... Endeleeni kutiririka..
Back
Top Bottom