The 500 Influential Tanzanians under 45yrs who are changing the world

The 500 Influential Tanzanians under 45yrs who are changing the world

Daaah naona tunachanganya madini kwangu mie nawaweka hawa..
Salama Jabir
Mkubwa Fella
Madam Ritta
Mwana FA
Scubba yule Mpemba wa vitu vikali....
Endeleeni kutiririka..
 
Yericko nyerere,ben saanane, Pasco,laki si pesa, ocampo four,faizafox,mussa Alan,lizaboni, nicholaus, simiyu yetu..dah hawa jamaa nao wanainfluence yao maana siku hizi JF ni kama reference kwenye habari za tanzania, nahisi watu pia wataanza kuiweka JF kama source kwenye write up zao za masters na phd,,,, kwa hiyo usishangukakuta ukakuta mahali mtu kaandika source yake ni faiza Fox au yericko nyerere wa JF..
 
CohbCjnUMAA0PTH.jpg:large
 
Somebody to remind me....Wako machalii flani mapacha, ni madaktari wa binadamu wanasoma Harvard University. Ni vichwa balaa..... Majina yao nimeyasahau...
 
Back
Top Bottom