Umepatia kweli kuniita hivyo kwa kuwa ni bonge la mpuuzi mimi nnakupuuza hayo maneno yako ya kishoga shoga.
Ntaendelea kukupa darsa la nyama ikoje kila unapoleta utumbo - kumbuka hilo.
Sawa Mkuu, Hiyo ni kwa mujibu wako na wala siwezi bishana na wewe juu ya hili.Kwa ufupi tu ni kwamba mizimu sio majini
Siku zote nikiona Maada tokea kwa mshana jr, huwa nazisoma kwa umakini sana na hata kuzirudia rudia, maana binafsi napenda kujua mambo mengi mengi humu duniani visivyoonekana na vinavyoonekana, maana nikitafakari ule msemo wa Mungu kaumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, napatwa na mshawasha wa kutaka kujua visivyoonekana. Ki-ukweli mshana jr, huwa unanifumbua mengi sana, sema tu wachache hawakuelewi. Zaidi nafurahi unapojibu kila unaloulizwa, tena kwa ufasaha kabisa (kwa mtazamo wangu). Natamani sana kukuona, ila nishajiambia ipo tu siku nitakutafuta mshana jr.
Ahsante!
kwa ufupi tu ni kwamba mizimu sio majini
Mimi makwambia mizimu ni majini na maluhani ni majini na mganga wowote lazima awe naye ama atumie jini ili mambo yaende
Je unabishaa
Hapana sio waganga wote wanaotumia majini na nikwambie tu kwamba majini ni tofauti na Maruhani na mizimu
Wee bado sana JF vingine vione kama vilivyo kumuita mtu mpuuzi mkubwa sio tusi bali ni sifa hasi
Hahhahaaaa mshana jr kuja pande hii Crispin Nyoni anakuita