Maalim Seif: Haturudii Uchaguzi

Maalim Seif: Haturudii Uchaguzi

Hizo porojo na uongo mtupu, weka shahada ya tume tuione.

Kama huiamini tume usipeleke wabunge wako bungeni.

Foxy Google bana utapata ushaidi jamaa yuko sahihi sana na bado hajaweka lakini NNE zilizo haribika so ukijumulisha zote unapata jumla 23 million hivi na point
 
Kutaja tu bila ushahidi?

Tume wakitangaza wanaweka na ushahidi.

Kwenye hili uko sahihi kama amefanya tallying kweli aonyeshe hiyo breakdown ya kura kwa majimbo. Kusema tu nimeshinda kwa asilimia fulani ni rahisi.
Ila kwa uhakika Maalim Seif sasa akapumzike. Ajaribu hii mara ya mwisho kisha awaachie wengine!
 
Sababu nyingine vituo vingi vya kupigia kura mawakala walikuwa wa CUF/UKAWA, mawakala wa vyama vingine walinyang'anywa kadi zao za utambulisho hivyo walishindwa kushiriki mchakato wa kusimamia upigaji kura mpaka pale walipopata vitambulisho vyao.
Hao mawakala walikuwa ni upande wa kura za Zanzibar tu kwasababu NEC haikuona hiyo kasoro na uchaguzi ulifanyika chumba kimoja
 
Hao mawakala walikuwa ni upande wa kura za Zanzibar tu kwasababu NEC haikuona hiyo kasoro na uchaguzi ulifanyika chumba kimoja

Hakuna wakala wa kila chama alikuwa anawakirisha chama chake kuanzia za uwakilishi mpaka muungano. Ajabu za Zanzibar hazikuwa huru na haki bara zilikuwa huru na haki hii. Ndiyo inanitatiza kisheria lakini unakuta mtu kama fayza. Foxy ana tetea ujinga uliofanyika hili ni tatizo kubwa sana. Wasomi wanatakiwa walione na walifanyie kazi lisije likajirudia.
 
una safari ndefu ya kuukubali ukweli..

Maalim Seif akinambia nje kuna jua na ni mchana basi inabidi kwanza nikatazame, jee kweli.

Seif wala hana ya kuumiza kichwa, atuoneshe tu matokeo ya majimbo (jua) ili tumuunge mkono, bila hivyo. No way.
 
Foxy Google bana utapata ushaidi jamaa yuko sahihi sana na bado hajaweka lakini NNE zilizo haribika so ukijumulisha zote unapata jumla 23 million hivi na point

Wewe kama umesha google, tuwekee hapa, tujionee. Unashindwa nini? Au unahofia huna uhakika nayo na sheria ya mtandao itakuhusu kwa kusambaza uongo?

Tuwe wakweli.
 
Kwenye hili uko sahihi kama amefanya tallying kweli aonyeshe hiyo breakdown ya kura kwa majimbo. Kusema tu nimeshinda kwa asilimia fulani ni rahisi.
Ila kwa uhakika Maalim Seif sasa akapumzike. Ajaribu hii mara ya mwisho kisha awaachie wengine!

Last edited by a moderator:
Nimeota kama kuna ka nchi katikati ya bahari kamefutwa.
kamebaki kama kamkoa kamojawapo tu.

Kanasubiri kuchagua mkuu wa mkoa gtu hakuna namna nyingine.
 
Kwa taarifa zinavyojionesha uchaguzi uliofanyika ulikuwa na figisu nyingi ikiwemo mawakala wa vituo kutohudhuria kwa baadhi ya vituo na wapiga kura kuzidi idadi waliojiandikisha.

Leo wanadai eti hawawezi kurudia kupiga kura.

Hilo linaonekana kuleta vurugu Zanzibar tumekoma sisi wananchi hatutaki vurugu wafanye wao viongozi.sisi tunaendelea na kazi zetu hatuhitaji uvunjifu wa amani.

sikiliza sheria zinasema nini

Mawakala kutofanya kazi yao kunahusiana vipi na Tume kusema uchaguzi sio huru? Mawakala ni wawakilishi wa Vyama vinavyoshiriki uchaguzi na wanalipwa na vyama, sasa Tume inajihusisha na mawakala kivipi?

Tangu lini refa anayechezesha mechi ndio awe mlalamikaji kuwa matokeo sio halali badala ya timu zilizocheza hiyo mechi chini yake?

Vv
 
nenda zanzibar kawahubirie warudie,
wenye kura wanasema hawarudii, wengine 'rudia' ni ajabu
 
Na Mimi sioni sababu ya kurudia uchaguzi Zanzibar wakati kura za Rais Wa jamhuri zilihesabiwa Na kuwa harari
 
Wewe kama umesha google, tuwekee hapa, tujionee. Unashindwa nini? Au unahofia huna uhakika nayo na sheria ya mtandao itakuhusu kwa kusambaza uongo?

Tuwe wakweli.

Hukuwahi kuukubali ukweli, na hutokaa uje ukubali maana watu kama nyie mmezaliwa kubisha bisha hata kwa mambo yasiyo hitaji ubishi.
 
Weka ushahidi wa wapiga kura kuzidi idadi halisi , haya yamebaki maneno ya jecha na wewe tu .
 
Nina Imani km wameshinda kwa haki ht uchaguzi ukirudiwa watashinda tu,hebu wasisusie uchaguzi.
 
Haki gani unaongelea??? Unaongelea haki ya Panya mbele ya Paka??? thubutu!!!
 
Back
Top Bottom