Recent content by Credere Potest

  1. C

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA huko Iringa mjini ahamia CCM adai Peter Msigwa ni dictator,uongozi manispaa haueleweki

    Yani ifike kipindi mtu akiacha huo udiwani yule aliyeshika nafasi ya pili hadi tatu andelee maana huu ni udwazi sana hizo gharama za kurudia uchaguzi wawape vijana waliokosa mkopo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania BABATI: Askari wa FFU amuua mzazi mwenzake kwa kumshona risasi nne akiwa lindoni benki ya NMB

    Wanawake wanakera sana mda mwingine aiseee! R.I.P Regina...ila mnamaudhi na mnatia hasira mda mwingine
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tupende vya kwetu AJIBU ni mchezaji Aliyekamilika

    Huo ndo ukweli kama kuna kosa ambalo Simba tulifanya ni kumruhusu Ajib aondoke aiseee yule jamaaa bonge moja La mchezaji
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tunamkumbuka Mwalimu

    Labda kwa mahitaji ya kipindi kile ilikuwa inajitosheleza tofauti na sasa mkuu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

    Huyu Pengo mda mwingine anatudhslilisha wakatoriki tu mda mwingine akae kimya tu....
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Juliana Shonza aula, Maghembe out..

    Duh! Aiseee nilikuwa sifahamu kama Rais ndiye anayeteua katibu wa bunge ni hatari aiseee!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nina siku zaidi ya nne sijaisikia Redio Free Africa(RFA) hewani. Je imefungiwa tena?

    Mimi ni Siku ya tatu Leo kwangu Star tv haioneshi kitu sijui shida ni nini maana bbc dira ya dunia ishanipita
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tundu Lissu anatarajiwa kufanyiwa upasuaji mwingine, utahusisha mguu ulioshambuliwa risasi

    Amen Amen Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema azidi kumpigania wacha nikamchingie kamanda Lissu...kuna yule mgonjwa mwingine yeye anahitaji kuombewa tu abadilike na sio michango tusimsahau
  9. C

    JamiiForums Tanzania 360 ya Clouds hii ni ukiukaji maadili ya uandishi

    Mimi mwenyewe Leo sijawaelewa Yule Kabaye na Sasali nafikiri siyo busara kabisa walichofanya Leo ...kuna wale watangazaji wenzao wanafaa uchi nafikiri wangeanza na wale kwanza
  10. C

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mimi sijawahi choka kuangalia hii kitu ya 24 aiseee... huwa naangalia zingine nyingi lakini kwa 24 aisee nimenyoosha mikono
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: Nimewasili Mbeya tayari kushiriki Sala Maalumu ya Kumwombea Mhe. Tundu Lissu

    Hilo kanisa lipo mitaa gani kwa wanaofahamu na Mimi nikashiriki kwenye maombi ya kumwombea kipenzi cha watu Tundu Lissu the Man Himself....
  12. C

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwake Mange Kimambi

    Aisee kiukweli Mimi ni mmoja wapo wa mtu ambaye huyu dada nilikuwa kama simweli vile .....Ila baada ya kumsoma sana na kuanza kuona anatokea tokea hadi kwenye baadhi ya media wanamzungumzia ikabidi nizidi kumfuatilia kiukweli huyu Mange yupo vizuri na anajielewa sana huyu dada japo mitusi yake...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea amesafirishwa leo kwa ndege kwenda mkoani Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge

    Wamemsafirisha hadi Dodoma Alf wameishia kumpeleka hospital tena, na kamati imesema itamhoji itakapojiridhisha afya yake imeimarika mambo mengine ya nchi ni kizunguzungu tu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kama Nairobi wamesema wametoa risasi nane kwa Lissu, lengo la madaktari wa Dodoma kutoa tano ni nini?

    Tuwe na Shukrani mda mwingine hivi madaktari wetu wasingepambana kwa hali ilivyokuwa mwanzo Leo tungekuwa tunazungumza nini? Na hawakusema kwamba pale ndo ilikuwa mwisho hapana bali alikuwa anaendelea kuhudumiwa lakini cha kwanza walikuwa wanapambana kumweka mgonjwa kuwa Stable kwanza......by...
Back
Top Bottom