tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,318
Sawa mkuu mdogo mdogo mpaka waelewe tu.Kuendelea kueleweshana na kuombeana sote tupate uelewa mkuu, mdogo mdogo wataelewa tu.
Sawa mkuu mdogo mdogo mpaka waelewe tu.Kuendelea kueleweshana na kuombeana sote tupate uelewa mkuu, mdogo mdogo wataelewa tu.
Kiapo kitu gani, kwani ukikiuka kinakata shingo? Hakuna kiapo kikali wala butu, viapo vya professionals wote vina maana inayofanana. Japo simaanishi kuwa madaktari wa Dom wamefanya tofauti na maadili yao ya kitaaluma.Kumbuka Dodoma hawakufanya major operation walifanya Kitu kinaitwa resuscitation ni kumrudisha mgonjwa Katika hali yake ya kawaida kwa kuhakikisha vital signs zote ziko stable na no more bleeding na kuondoa hizo baadhi ya risasi
Kule Nairobi wamefanya major operation ambako Sasa ni rahisi Kuona kila Kitu huko ndani na kutoa ndiyo maana idadi inatofautiana.
Usijenge dhana ambayo Haipo kabisa kama vile Dodoma madaktari waliziacha risasi kwa makusudi hapana.
Viapo vya madaktari ni vikali sana ndiyo maana anaweza kukutana na hata jambazi aliyefanya uhalifu kwa ndugu wa daktari na bado jambazi huyo akapewa huduma stahiki.
walisema walizoziona. Mashaka yasitawale ufahamu.Hili swali najiuliza sipati jibu
Lengo la kuziacha zile risasi nane ilikuwa nini? Maana Kenya zimetolewa nane wakati Dodoma tuliambiwa alipigwa risasi tano,bora wangesema alitolewa tano zimebaki nane
Dunia nzima Tanzania inaaminika sana katika sekta mbili ulinzi na afya tu. Yaani askari wetu wanaaminika sana kimataifa regardless kutumiwa vibaya na watawala wetu yaani kimafunzo wako vizuri.
Hadi sasa naiamini idara ya afya na ulinzi wa nchi hii licha ya mapungufu ya kumezwa na watawala.
Kidos mkuuKumbuka Dodoma hawakufanya major operation walifanya Kitu kinaitwa resuscitation ni kumrudisha mgonjwa Katika hali yake ya kawaida kwa kuhakikisha vital signs zote ziko stable na no more bleeding na kuondoa hizo baadhi ya risasi
Kule Nairobi wamefanya major operation ambako Sasa ni rahisi Kuona kila Kitu huko ndani na kutoa ndiyo maana idadi inatofautiana.
Usijenge dhana ambayo Haipo kabisa kama vile Dodoma madaktari waliziacha risasi kwa makusudi hapana.
Viapo vya madaktari ni vikali sana ndiyo maana anaweza kukutana na hata jambazi aliyefanya uhalifu kwa ndugu wa daktari na bado jambazi huyo akapewa huduma stahiki.
Upo sahihi kabisa, lengo la dodoma lilikuwa kuokoa uhai kwanza na akiwa stable apatiwe matibabu zaidi.Kumbuka Dodoma hawakufanya major operation walifanya Kitu kinaitwa resuscitation ni kumrudisha mgonjwa Katika hali yake ya kawaida kwa kuhakikisha vital signs zote ziko stable na no more bleeding na kuondoa hizo baadhi ya risasi
Kule Nairobi wamefanya major operation ambako Sasa ni rahisi Kuona kila Kitu huko ndani na kutoa ndiyo maana idadi inatofautiana.
Usijenge dhana ambayo Haipo kabisa kama vile Dodoma madaktari waliziacha risasi kwa makusudi hapana.
Viapo vya madaktari ni vikali sana ndiyo maana anaweza kukutana na hata jambazi aliyefanya uhalifu kwa ndugu wa daktari na bado jambazi huyo akapewa huduma stahiki.
Thanks mkuuKidos mkuu
umeongea very technical
Ni kweli kabisa mkuuUpo sahihi kabisa, lengo la dodoma lilikuwa kuokoa uhai kwanza na akiwa stable apatiwe matibabu zaidi.
Kazi za kidaktari waachie wenyewe,halafu wangesema zimebaki nane ndio iweje ,jua ugonjwa /tatizo la mgonjwa ni siri kkati ya mgonjwa na daktari wake ,pia muwe na shukrani kwa kazi waliyofanya madaktari wa hapa nchini ,risasi hazitolewi mwilini kama vile unavyookota maembe,wacha wenye taaluma zao wafanye kazi zao kwa weledi wao na sio kwa unavyotaka weweHili swali najiuliza sipati jibu
Lengo la kuziacha zile risasi nane ilikuwa nini? Maana Kenya zimetolewa nane wakati Dodoma tuliambiwa alipigwa risasi tano,bora wangesema alitolewa tano zimebaki nane
Katibu mkuu wa wizara ya Afya...Usidanganye umma madaktari hawana maelekezo maalumu
Hata shukrani tu ya mdomo mmeshindwa kuwapa si bora wangetoa moja tu,ili wakufurahishe zaidi. Unadhani risasi zinatolewa kama funza wewe.Hili swali najiuliza sipati jibu
Lengo la kuziacha zile risasi nane ilikuwa nini? Maana Kenya zimetolewa nane wakati Dodoma tuliambiwa alipigwa risasi tano,bora wangesema alitolewa tano zimebaki nane
Kabisa kabisa mkuuLissu aliumia sana, kilichofanyika ni kumfanya aendelee kupumua kwanza kisha matibabu ya msingi yafanyike. Madaktari wangekuwa na nia mbaya katika hiyo operation wangeweza kucheza na taaluma yao kwa sekunde mbili tukamkosa Lissu
Tuungane kushukuru juhudi za wale madaktari!
Mi nafikiri madaktari wa Dodoma tusiwalaumu sana, risasi inaweza isionekane kwa kipimo A kisha kikaonekana kwa kipimo B. sasa yawezekana riporti ya kwanzia ikaonyesha risasi pungufu ripoti ya pili inaonyesha kwamba zingine pia zilipenya mwilini ndiyo maana bado vipimo na matibabu zaidi yanahitajika.Hili swali najiuliza sipati jibu
Baada ya Mbunge Lissu kupigwa risasi alifanyiwa upasuaji na jopo la madaktari, akiwemo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya. Katika upasuaji huo alitolewa risasi 5 mwilini na kisha kusafirishwa kwa ndege hadi Nairobi.
Alipofika huko alifanyiwa upasuaji takribani mara 2 au 3 na kutolewa risasi 8 zaidi. Je lengo la kuziacha zile risasi nane ilikuwa nini? Maana Kenya zimetolewa nane wakati Dodoma tuliambiwa alipigwa risasi tano, bora wangesema alitolewa tano zimebaki nane.
Rejea mada => Hivi ndivyo risasi nane zilizotolewa mwilini mwa Lissu nchini Kenya, nje ya 5 zilizotolewa pale Dodoma