Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

Duru toka ndani kabisa ya watu waliokaribu na kiongozi aliye jihudhuru kwa kashfa ya ufisadi eti amemshawishi kiongozi wa KKKT KUMJIBU PENGO hapo kesho kupitia press itayoitishwa.

Yetu macho!
Acha upumbavu wa kuchafua madhehebu ya watu kwa habari za udaku,itakusaidia nini kama sio kujichumia laana wewe na kizazi chako
 
KKKT ni dhehebu!?Ningekuelewa ungesema ni kikundi cha wasaliti wa enzi na enzi!
 
We mtu anaitwa pengo unategemea nin...kuna kitu kipo loose sehemu..yaan kuna pengo mahali
 
Acha upumbavu wa kuchafua madhehebu ya watu kwa habari za udaku,itakusaidia nini kama sio kujichumia laana wewe na kizazi chako
Anavyo chafuliwa Pengo na wadaku wenziyo unaona rahaaaa!
 
Duru toka ndani kabisa ya watu waliokaribu na kiongozi aliye jihudhuru kwa kashfa ya ufisadi eti amemshawishi kiongozi wa KKKT KUMJIBU PENGO hapo kesho kupitia press itayoitishwa.

Yetu macho!
Unaongea upupu wewe uliopitiliza aliyekwambia hili ni jukwaa la umbea ni nani?peleka ushuzi wako Facebook!
 
Huyu Pengo mda mwingine anatudhslilisha wakatoriki tu mda mwingine akae kimya tu....
 
Mnadhani maaskofu wote wako Compromised Kama huyo Pengo?
Huyo Pengo wakatoliki wenyewe tumeshamchoka
Basi tu kwa sababu ya karama ya UTII ya kanisa letu ndio maana tuko kimya tu
Alichosema askofu wa Ngara ndicho kinachoakisi hasa kilichopo mioyoni mwa maaskofu wengi
 
Duru toka ndani kabisa ya watu waliokaribu na kiongozi aliye jihudhuru kwa kashfa ya ufisadi eti amemshawishi kiongozi wa KKKT KUMJIBU PENGO hapo kesho kupitia press itayoitishwa.

Yetu macho!
Muulizeni ajipime kama anachotaka kufanya kina manufaa kwa

taifa.....
 
Back
Top Bottom