Recent content by cr9

  1. C

    Hotel nzuri kwa conferences Addis Ababa Ethiopia

    Nawasalimu wana jamvi. Naomba kujua kwa wenye experience, ni hoteli gani mjini Addis Ababa Ethiopia ni nzuri kwa conferences na bei nzuri i mean reasonable. Naomba munipe majibu ndugu zangu musiniambie ni google.
  2. C

    Utaratibu wa kuchange flight date kwa tiketi za fastjet

    Mbona sasa umepoteza muda wako kwa kuingia na kujibu. Kama ungeiona haina maana we ungeipotezea tu wewe hujui kama nimejaribu au hujui nipo kwenye mazingira gani usipende ku generalize mambo hujui circumstances zinatofautiana ndugu yangu.
  3. C

    Utaratibu wa kuchange flight date kwa tiketi za fastjet

    Nawasalimu wana jukwaa. Mi naomba kujua utaratibu wa kuchange flight date ukiwa na tiketi ya fastjet na je kuna gharama zozote za ziada? Nawasilisha. Ahsanteni sana.
  4. C

    Jeshi la Kenya ladumisha uongozi wake Afrika Mashariki na Kati

    Wewe acha kufananisha jeshi letu la Tanzania (TPDF) na majeshi ya nchi nyingine za Afrika mashariki. Tanzania ipo juu sana na ndiyo kinara wa ukombozi hembu someni historia. Hawa jamaa si ndiyo walishindwa kuzibiti Alshabab wanne tu walipovamia pale Westgate au sio hawa sasa wanakuwaje zaidi ya...
  5. C

    Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Kwanza kabisa wajikague nguo walizovaa, kofia na kila kitu na kila kitu walichokuwa nachi vyote vimetoka nje. so kwanza wao wenyewe waache kutumia vitu vya kutoka nje na watengeneze filamu za ubora wa hali ya juu kushindana na soko la kimataifa
  6. C

    Spika Ndugai:"Yanga wameiaibisha taifa bora tuzingatie masuala ya sanaa,

    Mbona Simba ilifungwa 4 bila na Libolo ya Angola mbona PSG ilifungwa 6 na Barcelona na Aresnal Ilifungwa 5 na Buyern?
  7. C

    DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    Huu ni ujasiri na mwanzo mzuri dhidi ya hii vita. kuna watu watabeza lakini mimi nampongeza mkuu wangu wa mkoa kwa hatua hii. kuwajua kwanza tayari ni hatua sasa kazi ya kutafuta ushahidi then wakamatwe wafikishwe mahakamani.
  8. C

    Fursa 10 kwa watanzania

    Habari zenu wanajamvi, Leo asubihi kuna bwana mmoja alikua Clouds TV na Clouds FM akizungumzia fursa 10 kwa watanzania wenye mtaji kuanzia Tshs laki tano mpaka milioni hamsini.Mimi nilisikia fursa mbili 1. IT and Technology na 2. Financial Services. Kama kuna JF Member alikisikia fursa zote 10...
  9. C

    Majungu ya Kigwangalla kwa Dr. Mwaka sio jambo zuri

    Wabongo wengi nadhani akili zao zina shida sana hata baadhi ya waliomo humu ndani wanaojiita great thinkers. Waziri alikua anatimiza majukumu yake kama waziri wa afya kitu amabacho ni senstive na hii imetokana na maneno mengi kusemwa na watu mbalimbali. Sasa kosa na Kigwangala ni nini hapo yeye...
  10. C

    Marekani na Uturuki waumbuliwa na Urusi: Biashara ya magendo ya mafuta!

    Ndugu Nyani Ngabu anaonekana hajielewi na aiyetaka kujifunza kusema kwamba putin hajafanya chochote sio kweli kuna vikwazo vingi tu vya kiuchumi na kijamii ameshaiwekea Uturuki vikiwemo vya kibiashara na imesahaanza kuwaathiri waturuki. Alafu mtu mwenye ufahamu wa kutosha anajua hizi ni vita za...
  11. C

    Ndoto ya Mzee Mtei yafifia na kutoweka kabisa

    Ni kweli anatamani kuona chama alichokianzisha na wenzake kinashika dola ila mpaka sasa huoni kwamba Chama alichokianzisha bado kipo na bado ni imara kabisa na kimetoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya nchi hii. Mimi siegemei upande wowote maana ya sio upinzani wala chama tawala ila ninaamini...
  12. C

    Wapi nitajifunza Kiarabu kwa hapa Dar es Salaam?

    Nawasalimu wadau, Mimi ni mkazi wa Dar na ninataka kujifunza lugha ya kiarabu. naomba munisaidie ni wapi kwa hapa Dar ninaweza kupata wataalamu wazuri wenye kujua kufundisha lugha hii.
  13. C

    Rais Kikwete amuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali Ikulu Desemba 02,2014

    Muungwana ni vitendo nakuombea kwa Mwenyezi Mungu Mwalimu wangu ufanye kazi zako kwa ufasaha najua utakutana na vikwazo vingi kwa hawa jamaa wanaojiita wanasiasa lakini we kumbuka majukumu yako kwetu sisi watanzania tulio wengi.
  14. C

    Je, ni yapi matumizi sahihi ya hizi breakdowns zilizojaa hapa mjini?

    Nawasalimu members wa JF, Kumekuwa na lawama na tuhuma nyingi zikielekezwa kwa askari polisi hasa hawa wa usalama barabarani zikiwemo kuwaonea na kutumia nafasi zao kama polisi kuwanyanyasa waendesha magari. Hii ni pamoja na kuwakamata kwa makosa ambayo kisheria ni kweli lakini swala linakuja...
Back
Top Bottom