Ndoto ya Mzee Mtei yafifia na kutoweka kabisa

Ndoto ya Mzee Mtei yafifia na kutoweka kabisa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Huyu Mzee alipendelea sana kabla Mungu hajamchukuwa aweze kushuhudia Chama alichokianzisha yeye pmj na wenzake kikishika Dola nchini mwetu, lkn kila siku zilivyozidi kwenda ndivyo ndoto hiyo ilivyozidi kufifia na kwa kuwa ni mtu wa kupenda njia ya mkato akaona anachelewa na kuamua kumchukuwa fisadi Lowasa na kumfukuza Bw.Slaa ambaye alikuwa kipenzi cha wengi kwenye cham hicho kugombea Uraisi wa nchi yetu akiwa na mategemeo kwamba ndoto yake ya kuona chadema inashika Dola ingetimia!

Sasa Chadema chini ya fisadi Lowasa imekataliwa katu katu na WatanZania na sasa hivi kiko mbioni kuwa irrelevant kutokana na kasi ya Magufuli wetu!


pic+lowassa.jpg



​
 
Hiv mwenzetu unatumia kiungo gani ktk kufikiri, yaliyo jir wakat wa uchaguz hukuyaona?
 
Core focus ya chadema ni business....kwao Politics ni Value Added Services
 
Core focus ya chadema ni business....kwao Politics ni Value Added Services

Kuna mtu namwambia hili kila siku ananiona mwehu...mpaka na mimi nimeanza kuamini labda kweli u mwehu unaninyemelea nashkuru mkuu umenitoa kwenye fikra za kutojiona siko sawa.
 
Ni kweli anatamani kuona chama alichokianzisha na wenzake kinashika dola ila mpaka sasa huoni kwamba Chama alichokianzisha bado kipo na bado ni imara kabisa na kimetoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya nchi hii.

Mimi siegemei upande wowote maana ya sio upinzani wala chama tawala ila ninaamini ili tuendelee tunahitaji chama tawala imara kama CCM na upinzani imara kama CHADEMA au UKAWA kwa ujumla.

Ninampongeza huyu mzee na wenzake mpaka hatua hii tuliyoifikia na ninakipongeza chama tawala CCM kwa kwenda sawa na spidi hii ya upinzani na kuweza kubadilika. Nadhani combination hii ya CCM na upinzani utaleta Tanzania mpya yenye matumaini kwetu sote.
 
Hivi bado unalipwa kwa kumtukana Lowasa mpaka leo,? Muambie bosi wako January Makamba anilipe pesa zangu alizonizulumu mpaka nikaamua kuondoka hapo Lumumba
 
kumbe kilianza na wabunge 70, na sasa kina mbunge mmoja! Lkn huo ni mtazamo wako.
 
Lowassa arudi tena kutushtukiza kwenye madaladala😅😅😅
 
Mtoa post umekunywa Viroba nn maana naona unaongea kama bata
 
Hata Mtume Mussa aliahidiwa na Mwenyezi Mungu kuiona nchi ya Babu na Baba Zake, yaani nchi ya Kaanani. Lakini aliishia kuonyeshwa tu kwa mbali.Na kamwe hakupata kuifikia.
 
Back
Top Bottom