Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,834
Kwikwikwikwi Tunaanza analysis:Wewe hizi vitu bado zinatumika??? Yaani utakuwa na Rocket inaenda 40Km kufanya nini?? Yaani Rocket haiwezi hata toka Dar ikachapa Morogoro?? Hahahaha, Yaani Rocket ikirushwa toka Dar CBD inafika tu Pugu na hapo ndio mwisho?? Hiyo haiwezi fanya kitu kwa vita ya kisasa
Hii hapa inapiga toka Arusha mpaka Nairobi (Type 63)