Fursa 10 kwa watanzania

cr9

Senior Member
Oct 13, 2010
185
103
Habari zenu wanajamvi,

Leo asubihi kuna bwana mmoja alikua Clouds TV na Clouds FM akizungumzia fursa 10 kwa watanzania wenye mtaji kuanzia Tshs laki tano mpaka milioni hamsini.Mimi nilisikia fursa mbili 1. IT and Technology na 2. Financial Services.

Kama kuna JF Member alikisikia fursa zote 10 tusaidie kuzitaja na tuzijadili kwa manufaa yetu sote.

Nawasilisha
 
10.IT &Technology
9.Financial services
8.Fashion&Beauty
7.Transport and logistic
6.Real estate
5.Social business huduma za kijamii
4.Media and intertainmnent
3.CHAKULA bussiness
2.Retail bussiness
1.Agri bussiness
 
Details wataziweka kweye youtube la Dakika 90 na DVD wa tanita kwetu Festa
 
10.IT &Technology
9.Financial services
8.Fashion&Beauty
7.Transport and logistic
6.Real estate
5.Social business huduma za kijamii
4.Media and intertainmnent
3.CHAKULA bussiness
2.Retail bussiness
1.Agri bussiness

Biashara haifundishwi wala hailekezwi ni wewe mwenyewe kuitambua na kuifanya

Kwanini hao clouds wasifanye wenyewe hakuna kitu kama icho
 
Hiyo namba moja 1 nilishafanya utafiti kwa miongo kadhaaa ni kitu cha gharama sana...jiulize NAFCO ziko wapi?
DUNIANI KILIMO HUFANYWA NA MATAJIRI PIA HUKATIA BIMA MAZAO SHAMBANI.
 
Hiyo namba moja 1 nilishafanya utafiti kwa miongo kadhaaa ni kitu cha gharama sana...jiulize NAFCO ziko wapi?
DUNIANI KILIMO HUFANYWA NA MATAJIRI PIA HUKATIA BIMA MAZAO SHAMBANI.

Nchi yenyewe imejaa mazombi kila kona
 
Hiyo namba moja 1 nilishafanya utafiti kwa miongo kadhaaa ni kitu cha gharama sana...jiulize NAFCO ziko wapi?
DUNIANI KILIMO HUFANYWA NA MATAJIRI PIA HUKATIA BIMA MAZAO SHAMBANI.
ruzuku,,,huku wanacheka mdumange na kswahili cha siasa
 
Back
Top Bottom