Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataja Askari 9 wanaotuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya.
RC Makonda amewataja wanaotuhumiwa kutumiwa dawa za kulevya wakiwemo TID, Wema Sepetu, Chid Benz, Recho, amewataka kesho wakutane polisi
Makonda amesema:
- Kuna maeneo watu wanatuambia madawa ya kulevya wanayapata sehemu hizo, wamiliki wake kesho niwakute polisi, wasipokuja nitawafuata
- Kama unajua una eneo unafanya biashara za dawa za kulevya DSM natoa siku 7 biashara hii iishe, operesheni hii naiongoza mwenyewe
- Kama Kamishna Sirro na timu yake watashindwa kutokomeza dawa za kulevya DSM maana yake wamekosa sifa za kuendelea kuwa askari
- Watano tayari nimeshawakamata na wengine nimewakamata wakiwa na dawa za kulevya
1- Detective Koplo Noel (Kituo chake cha kazi ni Central Police Dar)
2- Dotto (Yuko Kituo cha Kijitonyama)
3- Mwingine anafahamika kama 'Makomeo' (Kituo cha Oyster-bay)
4- Glory (Yuko Kituo cha Kawe)
5- Inspector Fadhili (Yuko Kituo cha Kinondoni)
6- Steve (Kinondoni)
7- James (Kinondoni)
8- Ditective Koplo (Wille)
9-
Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewataja pia wasanii wanaojihusisha na matumizi na uuzaji wa madawa ya kulevya na kuwataka kuripoti kituo cha polisi kesho.
NB: Suala la Dawa za Kulevya limekuwa likizungumziwa na kupewa kipaumbele kwa muda mrefu hapa JamiiForums. Kwa taarifa zaidi tembelea mada hii, kupata orodha ya mada nyingine nyingi zinazojadili suala hili - Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!
=====
Habari hii ni moja kati ya zilizojumuishwa kwenye kipindi cha Jamii Leo katika chaneli yetu ya YouTube. Kuona habari nyingine zaidi, tazama video hii hapa chini: