Habari wakuu,
Kilio changu naomba niungwe mkono na wakazi wote pamoja na watumiaji wa barabara ya Mbezi kwenda Makabe kupitia katika viunga vyake vyote vya shule ya St Ann's, Madukani, Kwa Brigenda, Post, Njia panda mpaka huko mwisho Makabe. Kilio hiki ni ubovu uliokithiri wa barabara hii...