Recent content by Constantine Akitanda

  1. Constantine Akitanda

    Jimbo la Mbinga mashariki

    Ndugu zangu wana Mbinga achaneni na dhana ya kuishi kwa ndoto na ahadi za Wabunge, mnapaswa kubadilika, ni mweli Mbinga imejaa utajiri lakini wana mbinga ni masikini, mmenyimwa haki ya kuujua ulimwengu unavyokwenda, halafu wasomi wa Mbinga wamejaa ubinafsi mkubwa, mwisho acheni ushirikina...
  2. Constantine Akitanda

    Paul Kagame kulihutubia Taifa leo

    Jambo hili mbona linakuzwa sana, nashauri serikali ichukue hatua madhubuti tofauti zizungumzwe, vita si kitu kizuri sana, ni njia ya mwisho lakini nadhani hatuhitaji kupigana na Rwanda
  3. Constantine Akitanda

    CCK yalaani vikali kupigwa bomu mkutano wa chadema huko Arusha: "Ni Unyama Usikubalika"

    CHAMA CHA KIJAMII (CCK) MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM TAMKO KUHUSU TUKIO LA KUTUPWA BOMU KATIKA MKUTANO WA KISIASA WA CHADEMA HUKO ARUSHA 18th June 2013 Chama Cha Kijamii (CCK) kimepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa juu ya tukio la kutupwa kwa bomu kwenye mkutano wa kisiasa...
  4. Constantine Akitanda

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Dr. Ferdinand Boniface Masau, Mungu akuweke mahala pema peponi! Hatuthamini wasomi wetu, Dr. Masau kahitimu udaktari Muhimbili, alikwenda kwa Masters ya upasuaji moyo Hubei University nchini China na kuwa miongoni mwa wanafunzi bora wa upasuaji wa moyo, Mradi wake baada ya kuhitimu ni kuanzisha...
  5. Constantine Akitanda

    Dr Dau, NSSF, madaktari bingwa wa moyo Muhimbili-"hongereni" kwa kifo cha DR MASAU

    Nimepoke kwa mshituko mkubwa sana wa kifo cha kaka, rafiki na mwajiri wangu wa zamani Dr. Fed kama tulivyozoea kumwita. Maadui wa mradi huu ni wengi, kwa kuwataja tu ni pamoja na Rotary, Prof. Leonard Lema aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili, kwa kauli yake aliwahi...
  6. Constantine Akitanda

    Kiyabo: CCK itatoa Rais 2015

    'end will justify the means'
  7. Constantine Akitanda

    Nitaifanya CCK kuwa kama Chadema

    Most of the problems in life are because of two reasons; "we act without thinking or we think without acting"
  8. Constantine Akitanda

    KADA WA CHADEMA ARUSHA AJIUNGA NA CCM: Katibu wa CHAMA AMANI GOLUGWA Hamtambui Kada Huyo

    Haya mambo ya ajabu kabisa! Nadhani aliyewasilisha mada hii ana mapungufu makubwa, James Ndarvoi ni mwanachama wa Chama Cha Kijamii (CCK), Nimeachana naye kwenye kikao chetu nusu saa iliyopita, nikapigiwa simu na Katibu wa Uenezi ambaye kwa sasa yuko Bujumbura kuhusu jambo hilo nami...
  9. Constantine Akitanda

    Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

    TAARIFA YA DP KUHUSU UNYAMA DHIDI YA DR. ULIMBOKA Tarehe 30/6/2012 NI ISHARA YA KUANGUKA KWA UTAWALA! Tumeamua kuvunja ukimya kuhusu mpango wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, wa mauaji ya kinyama ya Daktari Steven Ulimboka na wenzake. Kwanza kabisa tunatoa pongezi kwa vyombo vya...
  10. Constantine Akitanda

    MAASKOFU, chonde chonde kizazi kinaangamia: ASKOFU MWINGINE ADAKWA NA UNGA

    HEAD OFFICE P.O BOX2233, MBEYA, TANZANIA EAST AFRICA Registration No. SO NO 12079 Email: muliliegemukombo@yahoo.com Website:www.houseofprayershieldoffaith.org Tel: No. 0717655775 Kumb.Na. HP/MBY/VOL.9/5/3 Tarehe 30/ June...
  11. Constantine Akitanda

    Live sex in Big Brother star game!!

    uzinzi wa kutisha !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  12. Constantine Akitanda

    Kuna mawaziri watakufa muda wowote

    Nabii Mwingira ni Fusika wa kutisha , sisi tumefanya kazi pale inatisha hata kusimulia humu!!!!!!!!
  13. Constantine Akitanda

    Kuna mawaziri watakufa muda wowote

    UKWELI HAPA NI KWAMBA HUO SI UTABILI KWA KUWA TAYARI NABII JOSEPHATI MWINGIRA AMEKUMBWA NA KASHIFA NZITO!!!!!!!!!!!!!!!!! kESI NA.266/2010 Inayohusu Nabii Mwingira na Wakili Mbuya Kutajwa 1Jun,2012 High Cort Taarifa kutoka Mahakama kuu zinaonyesha kuwa kesi husika itatajwa tarehe...
  14. Constantine Akitanda

    CCK yaingia Arusha kwa kishindo

    Ni kweli tatizo letu kubwa ni mfumo, tumeliona na ni moja ya mambo muhimu tuliyoanza kuyafanyia kazi
  15. Constantine Akitanda

    CCK yaingia Arusha kwa kishindo

    Kwa wana JF, mapokeo yetu humo JF kwa kifupi hayakuwa mazuri, wengi wametutusi, wengine kutukejeli na mambo mengi ya mzaha, lakini kumbukeni mzaha wenu ni mauti kwa wengi ambao hawapati fursa ya kuingia na kuona haya. Tunaelekea vijijini waliko wapiga kura na kuwaeleza kilichotkusajili chama...
Back
Top Bottom