Tumekuwa wa kuonyesha kutaka kuthamini,kujali na kulinda punde tu tuwapo katika hatua ya kutaka ama kujenga uhusiano au muda mfupi tu tangu uhusiano uanze,tukipata tunasahau sijui huu ugonjwa utapona lini,tukiachwa tunajiwa na kumbukumbu na kuishia kujutia.
Tujaliwe wepesi katika hili.
Ulifanya mistake kubwa mkuu,kufall in love seriously then na kuDO nae ilihali tayari ni mdaiwa wako tena wa hela kubwa kwa maisha ya mtanzania wa kawaida.
Mtoto mmoja alitoka shule huku analia kweli kweli hadi alipofika kwao. Baba yake kuona mwanaye analia,ikabidi amuulize kulikoni;
Baba: Unalia nini mwanangu mzuri? Nini kimekusibu huko utokako?
Mtoto:Nimepigwa sana baba,nimeambiwa twende wote shule.
Baba na mwanaye wakaongozana kwenda shule...
Huenda akawa amekariri,jaribu kumuanzishia viji-topic visivyohitaji majibu ya "ok" au "thanks" base mkuu kwenye "kwa nn", "kiaje labda" then utajifunza jambo jipya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.