Wanaume tunatia aibu

Wanaume tunatia aibu

kumbe walimu ndio wenye soko? Dah itanibidi nirudi kwa yule mwalimu wangu wa tabata kimanga anayesubiri ajira
 
Ulitegemea bye-bye umaskini? hapo ndo kiroho safi umaskini una wewe,utaachwa na utaendelea kulipa madeni ya miaka kadhaa iliyopita.
 
Wakiona demu kajijenga wanamshobokea hasa wale marioo wakipigwa mizinga wanakimbia kimyakimya
 
WANAUME TUNATIA AIBU.

Unaenda kutongoza mwanamke ambae hana kazi lakini ana Galaxy s6 na iphone6 plus. Wigi la laki 3. High hills 150,000/ kucha anatengezeza kwa 50,000/. Gauni 200,000/ amepanga nyumba analipa kodi laki 4.

Ana ka spacio anaendesha. Haonekani asubuhi akienda kazini ye jioni tu utamkuta Bar na hainken.Ulivyokuwa ----- unakuja kutulalamikia "ooh yule msichna hana maana eti ananiomba mil 1. Aongezee anunue Flat mpya"


KAKA KWANI WANAOOA WAALIMU NI WAJINGA?

Na ndio maana mimi nikimtaka demu,tutazungushana wee ila siku ya kwanza y kikutana lazma nibonyee,ile mambo unakaa na demu mlimani city mimi sina na ni mwiko kupanga apointment na demu kama yuko sijui kwenye mzunguko sijui mwezini,siku ya kwanza mi namaliza kazi namwachia msala yeye sasa wa kunitafuta,maana asikudanganye mtu hawa watu wanasumbua kabla hujala maini tu ila ukishakula tu wenyewe ndo wanaomba appointment
 
Uzi unafundisha huu kwakweli. Kuna demu nlimtongoza, baada ya siku nkampigia simu tukutane sehemu, nikashangaa ananifata na gari wakati mimi hata piki piki sina. Nilipofatilia vizuri nikakuta kumbe ni muuza nyapu mkubwa maeneo flani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom