Asanteni wana Kyela kwa kuikataa CCM

Asanteni wana Kyela kwa kuikataa CCM

Hamtoonekana humu ndani nyie jifarijini na mimaneno yenu but hamtoamini subirini muone kama mna uwezo wa kumtoa mwakyembe aaaaaaa
Atawanyooosha mwakyembe
 
Na mm nimemsikiliza Mwakyembe asubuhi startv. Akatamba kuwa amejenga shule za A level tatu, amejenga madaraja sijui wapi wapi huko, n.k.
Sasa akadai ushindi wa ubunge Kyela upo nje nje. Wanakyela tuambieni ukweli, huyu jamaa ni atashinda?????

ukweli atashinda ingawa sio kwa kura nyiingi kama alivyozoea na ama kwa hakikaa atakua mmbunge tofauti kiukweli bahati aliyokua nayo ni aina ya mbunge wa ukawa anategemea kubebwa na chama zaidi hana uwezo mzuri kisiasa na hana ushawishi mkubwa pia kuna kachembe cha ukabila hapa ukizingatia mwanyamaki sio mnyaki
 
Wapiga kura wako bize kwa foleni wee endelea na kampeni umu JF.
Na matokeo yakitoka utuletee pia
 
Katika Jimbo ambalo kura zinatakiwa kulingwa ni Kyela
 
Nasikia muda Huu kyela cdm na ccm wore wanashangilia ushindi anayejua kinachoendelea atujuze
 
JamAniwmwenye kujua matokeo ya huyu mwenye S. H Amon naomba anijuze maan ni muhimu kujua huyu mtu imekuwaje
 
Mark my word,Dr.Mwakyembe ni mtu muhimu sana ndani ya Taifa letu - hata hasipo pata Ubunge wa kuchaguliwa atapewa Ubunge wa kuteuliwa.
 
Back
Top Bottom