MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
JPM kaza buti mpaka kieleweke.
Kama hawezi, hiyo ni hoja nyingine.
Lakini kusema kwamba Ruvuma hakuna ofisi iliyo muhimu si hoja hata kidogo.
Ruvuma nako kuna Watanzania pia.
tpdc atashangaa!😛oaNnachoona ni kwamba Mheshimiwa ana wasaidizi wazuri sana katika kufuatilia mitandao na vyanzo mbalimbali kuona wananchi wanalalamikia taasisi gani zenye kero sana!Mi nabashiri na ningependa sana kuona kesho/keshokutwa akitembelea BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU!!We unaafikirije?
bandari inaonesha kuna urasimu Sana watu wanajipangia posho ndefu kupita mishahara yao wkt hawajui izo kodi ni kwa ajiri ya maslai ya watanzania wote
Hizo ziara zitakuwa si za kustukiza tena.
Maana kwa sehemu ambazo hajaenda, tayari watakuwa wake kwenye mkao wa kutembelewa, hususan kwenye hizi siku za mwanzo mwanzo.
Kama ni mjanja...angezi-space out.
Leo uko Dar.....kesho uko Ruvuma unannounced.
Keshokutwa uko Simiyu.....
Halafu unatulia....unakaa mwezi unarudi tena wizara ya fedha.
Manake hao wanaweza kudhani kwa vile ulishaenda basi hutarudi tena....
Catch them off guard for real....but only if it yields meaningful dividends and not just photo-ops intended to score cheap popularity points.
Nadhani hata huko CCM wanaanza kutilia shaka namna yake ya utendaji. Anadhani nafasi ya U Rais ni sawa na uwaziri alipokuwa ana jificha na kuvamia Mizani, huyu jamaa atakuwa na vituko si kidogo.
Aendeeee bandari piaaaa huko ni shidaaa
Ha ha ha Nyani Ngabu alimkosoa Magufuli tangia hajawa rais..
Na hivi sasa anamkosoa tu kwa bidii.
Style ya Magufuli si mpya.
imetumiwa sana na Putin wa Urusi ambaye ameiokoa sana nchi hiyo na majanga mengi makubwa yanayoikumba hivi sasa.
Yaani hata Magufuli akitoa ushuzi nahisi Nyani Ngabu ataanzisha uzi JF hali kufanya hivyo ni hulka ya kawaida ya binadamu
Nadhani hata huko CCM wanaanza kutilia shaka namna yake ya utendaji. Anadhani nafasi ya U Rais ni sawa na uwaziri alipokuwa ana jificha na kuvamia Mizani, huyu jamaa atakuwa na vituko si kidogo.
Duh......kwa hiyo Rais wetu atakuwa wa kufanya kazi kwa kuvizia mpk miaka mitano iishe, mi nashauri aunde timu nzuri,wajue kuwajibika na walio chino yao hawatafanya uzembe.......haya mambo ya kutaka kufumania mimi siyaungi mkono.
Kwa nini Magufuli asikosolewe?
Is he above reproach?
Duh......kwa hiyo Rais wetu atakuwa wa kufanya kazi kwa kuvizia mpk miaka mitano iishe, mi nashauri aunde timu nzuri,wajue kuwajibika na walio chino yao hawatafanya uzembe.......haya mambo ya kutaka kufumania mimi siyaungi mkono.
Nnachoona ni kwamba Mheshimiwa ana wasaidizi wazuri sana katika kufuatilia mitandao na vyanzo mbalimbali kuona wananchi wanalalamikia taasisi gani zenye kero sana!
Mi nabashiri na ningependa sana kuona kesho/keshokutwa akitembelea BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU!!
We unaafikirije?