Recent content by Concomitant

  1. C

    Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Mwalimu wangu wa muda wote Dr Sungwa wa udom college of education huyu jamaa mbinguni moja kwa moja, jamaa hana complications kabisa kutoa A kwa darasa zima haoni shida ilmradi umefanya kazi na ufundishaji wake ni very simple
  2. C

    Ni kitu gani kinachoendelea ndani ya Korea Kaskazini?

    North Korea is safe na hakuna mgogoro wowote hizo ni porojo za westernersna washirika wao. There is no way kiduku ataingia kwenye bifu na dada yake eti kisa madaraka. Kiduku ni "supreme leader"
  3. C

    Ana Mke lakini nina Mtoto wake, Naomba ufafanuzi juu ya jambo hili kisheria

    Kisheria huna haki yoyote kwa kuwa wewe si mke wa ndoa. Kijamii tunakuona kuwa mwizi wa waume za watu. But you need to celebrate kwa kuwa umepata mtoto mlee na mtunze mwanao huyo ndiye ndugu yako. Kama umri wako bado nakushauri achana na huyo mwanamme haraka sana kabla mkewe hajafahamu tafuta...
  4. C

    Orodha yangu ya waandishi wa vitabu na watunzi wa stori..

    Inawezekana kabisa, Ila zote zitabaki kuwa conspiracy theories
  5. C

    Orodha yangu ya waandishi wa vitabu na watunzi wa stori..

    nimepata kusikia na baadae nikasoma online kuwa Shakespeare did not really exist yaani hakujawahi kuwa na mtu aliyeitwa Shakespeare isipokuwa ni masimulizi tu kama habari ya wahenga kibongo bongo ambao kwa hakika hawajapata kuwepo ila ni msemo tu au sawa na Confucius kwa wachina he never existed...
  6. C

    Nina miaka 42 ana miaka 18 anang'ang'ania nimuoe. Mimi namuona mdogo mno kuwa mke, nahisi atanisumbua

    Hapo hamna kitu mzazi, huyo demu ndio kaianza tu safari ya mapenzi hana experience yoyote zaidi ya kudate na vi.school boys atakuzingua baadae kama vipi kwa sasa wewe kula tu mzigo
  7. C

    Nikaribisheni mgeni

    We are not guys, we are great thinkers of different levels anyways karibu sana jf where freedom of speech is guaranteed
  8. C

    Namtafuta rafiki yangu Godfrey "Jully" Temba

    Hiyo suruali mmmh! ngoja nimuite bondia Mwakinyo huenda atakuwa na maelezo ya kutosha
  9. C

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Nenda maeneo ya msikitini wale maustadhi wenye kuuza dawa za asili lazima watakuwa nazo
  10. C

    Awamu hii Spika wa Bunge ni kama Mlinzi wa Rais au Sekretari wa Rais

    Ndugai ni mtaalam wa mambo ya kiafrika amemteka kiongozi wetu ndio maana kila kitu ni ndugai so, ktk hili japo sio mashindano wala vita ila mshindi ni ndugai
  11. C

    Nahisi kuua au kujiua au kuhama mkoa kwenda kusikojulikana

    Kama unataka arudi faster fanya hivi: nenda dukani kanunue chupi za kike kama kumi hivi tena zile za size kubwa kubwa zinazovaliwa na wale waliojaaliwa neema za allah ukirudi home zifue then zianike nje kwenye kamba Ingia kitaa tafuta mwanamke yeyote yule akiwa jirani yako itapendeza zaidi mpe...
Back
Top Bottom