Recent content by comesucces

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Natafuta male friend
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa bitcoin na etherium wanahitajika

    Heloo wakuu, Wale mawakala wa bitcoin na etherium nawahitaji ikiwezekana waniunge kwenye magroup yao ya whatsapp nilikuwa nazihitaji. Nimeamua nihamie kwenye cryptocurrency na zile fursa nzuri nzuri za cryptocurreny msisahau kunishirikisha
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kupata wakala mkuu wa bidhaa yangu

    Pole na majukumu ya siku wapendwa Nimeamua kuja katika forum hii lengo kuu likiwa ni kutaka kujua ni namna gani ayctaratibu zipi naweza kupata wakala mkuu wa kuweza kuchukua bidhaa yangu pindi inapozalishwa tu kiwandani Kwa ufupi mimi ni mzalishaji wa bidhaa ya mafuta ya mgando na bidhaa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nimejipatia fursa kama unataka majina ya walioajiriwa tarehe 22 dec 2017 nakutumia kwa 1000 tu

    Kama unahtaji majina ya ajira mpya natuma kwa buku kwa njia ya whatsapp namba 0653573094 hii namba haipo whatsap piga tu Ipo kwa mfumo wa pdf
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kujifunza kutengeneza sabuni?

    Uko wapi mi ya maji ni mtaalamu na unapata sabuni nzito na yenye ubora zaidi Ukihitaji nitafute kwa namba 0653573094 nitakufundisha kwa 10000 japo wapo wanaofundisha kwa buku au 2000 au 5000 tu ila mi yangu ni hio kama unataka mafunzo yasiyobabaisha Kazi njema mkuu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

    Mi natumia Sensitive Vigordoctor Triple action Dentix Carrot extra Supperfresh Airsun Na zingine kama Smorker Angola Aloe supper Goodweek Sensodyne n.k
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la biashara nahitaji patner.

    Ok nicheki hapa boss wangu 0653573094
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya IGP Sirro anisaidie

    Sio lazima uandike
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya IGP Sirro anisaidie

    Jamani ni wizi wa kimtandao aisee sidhani kama kituo cha kata watafanyia kwa wakati na limecompose watu zaidi ya mia nne waliobiwa pesa zaidi ya million mia tatu ko msijaji sana wakuu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya IGP Sirro anisaidie

    Jamani kuna wizi umetokea kwa yule mwenye namba ya sirro anipm saivi
  11. C

    JamiiForums Tanzania Incubator inayotumia mafuta ya taa

    Hello members habari za mihangaiko na shughuli za kila siku I hope ni wazima wa afya Mimi ni mjasiriamali ambaye mara nyingi najihusisha na maswala ya kutoa training za masomo mbalimbali kwa vikundi mbalimbali tena bila malipo ama hakika itoshe kwamba watu wengi wameweza kunufaika na mafunzo...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Guest Dar kwa vyumba vya kawaida sh ngapi?

    Helo habari za usiku mabibi na mabwana! Hivi kuna anayejua bei za vyumba katka nyumba za kulala wageni Dar. Msaada tafadhali kuna mtu anataka aje Dar kufanya shughuli zake anategemea kukaa mwezi guest kwa hiyo alitaka kujua bei halisi ili awe na mahesabu kamili. Msaada kwa anayejua
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hati ya kusafiria

    Helloh wakubwa na wadogo natumaini mu wazima wa afya Mimi ni mtanzania halali wa taifa hili Ila kwa sasa sina kitambulisho chochote zaidi ya cheti cha kuzaliwa sasa nilikuwa naomba msaada ya kuwa ni jinsi gani naweza kupata pasport ya kusafiria na angali sina kitambulisho cha uraia wala mpiga...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Forex inafaida nimeshuhudia mwenyewe

    , wakujifanya wajanja endeleeni
Back
Top Bottom