Nadhan na ssi itakua zam yetu sasa kumuuliza kama na yye kaisoma namba.alafu ttamwambia amalizie miaka 2 iliobaki kwa adabu zote huku akisubir kihama chake 2020.
Sasa huoni tkipotea n faida kwenu lumumba..tangu lini mkawa na roho nzuri ya huruma kutuangalia tusipotee??tuache.unganeni nyie ambao hamjapotea mnyolewe bila maj.
Wakati sisi tunaomba ushirikiano tuungane kuipinga hyo mikataba na iwe tu yenye maslah mazur kwa taifa.ninyi mlituzomea na kutuita wachochezi.kipindi hicho pia bado mali ilikua nyingi tu,sasa yamebaki makapi mnatupigia kelele za nini.acha tuwape changamoto zenye tija.
Kwasababu waziri mwenye dhamana aliuthibitishia umma kbsa kwamba viongozi wa kisiasa ni k3,nadhani hata wanao takiwa kutuwakilisha wako kweny kundi hilo kma sjakosea..kule kidgo wanaenda wenye zao kichwani
Kodi zinauma.acha tulipinge hili mapema kabla hatujaanza na kulipishwa kodi za vichwa wakati ilitabirika mapema ni nini mkulu anafanya na n nn kitatokea..hata aweke pamba vp maskion tutamchorea ubaoni na ataelewa vyema yu.sifa peleka chato.utaifa kwanza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.