Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Mwanasheria wa ACACIA yupo London kufungua kesi baada ya kuona ombi la tume huru kuchunguza makinikia linaweza lisifanikiwe

Screen Shot 2017-05-28 at 07.50.09.png
 
Taifa lenye watu wajing a kupindukia, kwani kesi ikifunguliwa ndio nini, inaonekana umefarijika mno moyoni, hili ni Taifa letu tunalo jivunia. Lisu ni Mtanzania, vita hii inamhusu yeye, Mimi, na tuipendao nchi yetu.
 
ACACIA ni vema wakatumia hekima, wasichukue uamuzi wa hasira. Waiombe serikali kufanyike uchunguzi huru kwa kutumia watu watakaokubalika na pande zote mbili, na maabara zitakazokubalika na pande zote mbili.

Kama serikali ikikataa, waiombe mahakama itoae amri ya kuundwa kamati huru ya uchunguzi.
 
Sawa, ili kesho Bungeni kuwe na Heshima wanapotunga na kupitisha sheria. Mtu alikua humo humo toka aangie kwenye siasa eti Leo anashangaa tunaibiwaje!!! mkapambane na Hapa kazi Tu wenzenu Wa MIGA huko.

Mtalipa hasara na fidia za gharama zooooooote including kuporomosha hisa zao na kuwachafulia jina

CCM Oyeeeeeeeee..

Magufuli Oyeeeeeeee...

Makonda Oyeeeeeeee...

cocochanel Oyeeeeeee...

jingalao Oyeeeeee

Troll JF Oyeeeee

Lizaboni Oyeeeeeee

MOTOCHINI Oyeeeeeee



JAMANI RAHA SIO RAHAAAAAAA??
 
Back
Top Bottom