Mnyika kaleta maendeleo Ubungo?

Mnyika kaleta maendeleo Ubungo?

CCM imeleta maendeleo gani katika umri wa uzee wa mtu mzima? Hill ndilo lingeanza kabla ya Mnyika kwani yeye amekulia ndani ya nchi isiyo na maendeleo.
 
Naomba kuuliza kwa watu wenye mapenzi mema na CHADEMA hivi Mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaidi ya kelele anazopiga bungeni?

Pia ushauri mdogo tu kwa CHADEMA muishio Ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguzi ujao,kama hampendi CCM mpeni CHADEMA mwingine.
Kama hajaleta maendeleo nenda kagombee nae mwaka 2020 hapo utakuwa umemaliza malalamiko
 
Mimi ni mkazi wa jimbo la KIBAMBA yani Najuta kumpigia kura mnyika.
 
Back
Top Bottom