Mbowe; wengine tuna masikio ila hatujasikia ulichosema

Chadema huwa hawanishughulishi kabisa siku hizi kwa sababu wameshakuwa watetea ufisadi
 
Andiko lako limejaa ukada.Hamna chochote chanya katika tupio lako.

Ni bahati mbaya kwamba hunifahamu ama kwa sura au kiitikadi.Sikuona haja ya kuandika ili kufurahisha upande wowote katika muktadha wa UCCM na UCDM.Nimevuka mipaka hiyo na kuiongelea mama Tanzania.Mengine hayo umenipachika wewe
 
Unakera. Una matatizo wewe. Ndo maana wamesema ni NONSENSICAL.

Soma sentensi ya 4 aya ya kwanza na sentensi ya 1 aya ya pili.

Kama Sanctus wewe ndo yule Msimbe aliekua anaendesha vipindi vya ujasiriamali kwenye Tv basi kazi tunayo kubwa.
 
mmempa heche sumu, mtauana sana, kisa anataka mabadiliko
mtauana sana, akija mtu na mawazo ya kimapinduzi mnamuua, mkishindwa mnamfukuza, heche mmempa sumu ninyi ni nomaaa
Mbona huzungumzii sumu aliyopewa mwakiyembe iliyomfanya kwa awe kama tahaira?
 
Unakera. Una matatizo wewe. Ndo maana wamesema ni NONSENSICAL.

Soma sentensi ya 4 aya ya kwanza na sentensi ya 1 aya ya pili.

Kama Sanctus wewe ndo yule Msimbe aliekua anaendesha vipindi vya ujasiriamali kwenye Tv basi kazi tunayo kubwa.

Nimewahi kueleza humu kuwa mimi sio Msimbe:simujui na wala sifamiani naye.Kama ninakera basi ni Bahati mbaya hiyo.
 
Nitatumia mchanganyiko Wa mantiki mbalimbali ili nieleweke.Ni kweli Magufuli anayo historia ya kuchukua maamuzi ambayo baadaye huleta athari.Umezitaja athari sitaki kuzirudia.CDM muliwahi kuitisha maandamano sehemu mbalimbali nchini yenye lengo la kukomboa watu kifikra.Kuwapa Uhuru Wa kuhoji kwa ajili ya maisha mapana ya nchi yetu.Hiyo ilikuwa sura moja ya matokeo.Sura nyingine ni kwamba baadhi ya waandamanaji walipoteza maisha.Hata huo Uhuru hawakufaidika nao! Hawakuonja matunda yaliyodhamiriwa.

CDM tulimwacha Dr.Slaa kwa sababu tulimpata ndugu yetu Lowasa atusaidie kwenye mpango Wa kuokoa Taifa letu toka mikononi mwa Majahili CCM.Hiyo ilikuwa sura moja.Nyuma ya sura hiyo Dr.Slaa "akapotea" physically japo tunaye kiasi Fulani kwa njia za kisasa za mawasiliano.Je,hiyo inawafanya CDM kuwa chama cha hovyo na kinachopaswa kutoaminiwa?

Mungu aliumba mema.Akampa mwanadamu Uhuru Wa kujiamulia mambo(free will).Uwezo Wa kuchenjua mema na mabaya.Hiyo ilikuwa sura moja ya mpango na utekelezaji wake.Nyuma ya sura hiyo mwanadamu aka-opt kukubali pendekezo la Shetani kwamba mwanadamu anao uwezo Wa kuwa sawa na Mungu kwa kila kitu(causally uncreated Creator).Je,Mungu kwa uamuzi huo Wa kumpa mwanadamu free will haifai?Amepoteza credibility?Je,Mungu sasa ni mwenye historia ya maamuzi angamizi kwa wanadamu?

Yesu akaja kutuokoa.Akazaliwa na mwanadamu mwanamke.Hiyo ilikuwa sura moja ya mpango na utekelezaji wake.Nyuma ya sura hiyo watu wakampokea kama binadamu mwenzao tu na asiye na lolote.Vijana wenzie wakamwona kama "msela" mwenzao tu tena "mpiga fungi" mzuri tu maana alijumuika nao kule harusini Kana tena kwa kuongeza chupa za bia baada ya zile zilizokuwa zimeandaliwa na Kamati ya harusi kuishia.Zaidi ya yote wakamuua.Lakini pia akawa amesababisha familia za baadhi ya Mitume kama Petro,Paulo, Yohane na wengineo kuparaganyika na kuacha wajane baada ya hao Mitume kuuawa.Je,Kwa matokeo haya Yesu Kritu haifai kusikilizwa na kuaminiwa tena kwa lolote?

Sasa Ndugu yangu Mbowe unajaribu kutuambia nini juu ya Magufuli? Kwamba ile barabara iliyokuwa inajengwa ikapelekea Serikali kudaiwa fidia kubwa ilikuwa mahususi kwa matumizi ya Magufuli? Kwamba ile Meli aliyoikamata na kisha ikatugharimu ilikuwa inavua samaki kwenye Bahari ya Magufuli? Kwamba watu waliofukuzwa na Vyeti feki walikuwa wanatumikia familia ya Magufuli?

Mimi na baadhi ya watu tuna masikio ila "hatujakusikia sawa sawa"! Kwamba katika chaguzi zilizopita mlikuwa munamusaidia Odinga wakati huo huo alikuwa rafiki yake Magufuli na haikuwa nongwa.Na wakati huo huo Magufuli alikwisha kutusababishia hasara za Fidia ya Barabara na Meli na haikuwa nongwa! Kwamba leo Odinga ameendelea kufanya ushirika na Magufuli akiwa Raisi sasa ni nongwa na mumemuhama na sasa "mshikaji" wetu ni Uhuru Kenyata! Uhuru kazaliwa leo? Kwamba tulimsapoti Odinga kwa sababu ambazo leo hazina mashiko tena? Kwamba tunamsapoti Uhuru kwa sababu Odinga ana ushirika na Magufuli ambaye sasa ana "laana" za vilio vya Vyeti feki na kuzuia Makanikia na hivi mkiendelea kumsapoti hiyo laana itamfuata Odinga na hivi hataweza kushinda uchaguzi?

Nina maswali mengi sana! Lakini nihitimishe tu hivi: siasa hizi ni siasa za namna gani? Je, unaposema ni heri wengine wenu mpotee lakini lazima Taifa lipone unamaanisha nini?Kwa nini kama kuna uwezekano tusipate matokeo yote mawili chanya kwa wakati mmoja? Kwamba Taifa lipate faida kwa kumupinga Magufuli na wakati huo huo asipotee mtu? Ikiwa wengine "wataondoka" kama ulivyosema ili kuponyesha Taifa,CDM itakuwa imejitofautisha vipi na Magufuli na maamuzi yake magumu yenye historia ya kuliumiza Taifa?Hebu naomba Unifanye masikio yangu yasikie na yasikie.
dogo mwambie Polepole akufundishe timing, umetumia msuli kujenga ambayo ni irrelevant kwa wakati huu.tuko busy tunajadili usanii wa JPM kwenye issue ya makanikia,
 
lowasa alipewa sahizi anavaa pampansi. mavi yanapita bila breki, watu ni nomaaa, Heche nyama za mgongo zinabanduka tu
Duh mkuu siasa zisitufikishw huku??? Sasa maneno gani haya ya kumuongelea mtu mzima anayeheshimika kama yule??? hizo pampas ulimvalisha wwe?? Mkuu dunia tunapita hii ukiendekeza matusi na kejeli haikusaiidii kitu hao lucky vincent walikuwa wazima tu na afya tele ila wamewaacha hao unaodai wanavaa pampas...... maisha ni majaliwa kuwa na afya njema wamshukuru Allah coz hujui kesho kma mzazi wako ama wwe utakuwa wapi kiafya au kimaisha na wala hakuna anayechagua kuwanna afya mbaya au kuugua sijui saratani na mengineyo!!!!!

So tuchague maneno yakutumia siasa zisitufanye kugeuka wanyama....... ni hayo tu
 
Kumbe walimpa sumu heche? Tujuze vzr bana basi hao cdm watakuwa mahaini
Taarifa ya daktari mliiskiliza au ushabiki tu??? Heche ni majeraha aliyopata kwenye ajali ya gari ndio yanamtesa ssa hyo sumu iliwekwa kwenye eneo la ajali ama????
 
Nimewahi kueleza humu kuwa mimi sio Msimbe:simujui na wala sifamiani naye.Kama ninakera basi ni Bahati mbaya hiyo.
Ok mkuu hoja yako ni ipi hasa maana nmesoma sijaelewa kitu labda ungeidadavua vzuri watu watiririke maoni yao maana wengi umetuacha kwenye mataaa
 
Usimuhusishe Mungu na mambo ya siasa ndugu yangu.tena koma kabisa hiyo tabia usiirudie nakusihi kwa sauti ya upole tu,si busara hata kidogo
Asa hyo mbn inaonesha kbs kwmb sio sauti ya upole mkuu...!!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
dogo mwambie Polepole akufundishe timing, umetumia msuli kujenga ambayo ni irrelevant kwa wakati huu.tuko busy tunajadili usanii wa JPM kwenye issue ya makanikia,

Kwa hiyo nikuelewe kwamba mimi ninatumia hewa anayopumua Pole Pole na hivi ndio kisa nimeshindwa kusoma nyakati?
 
Nitatumia mchanganyiko Wa mantiki mbalimbali ili nieleweke.Ni kweli Magufuli anayo historia ya kuchukua maamuzi ambayo baadaye huleta athari.Umezitaja athari sitaki kuzirudia.CDM muliwahi kuitisha maandamano sehemu mbalimbali nchini yenye lengo la kukomboa watu kifikra.Kuwapa Uhuru Wa kuhoji kwa ajili ya maisha mapana ya nchi yetu.Hiyo ilikuwa sura moja ya matokeo.Sura nyingine ni kwamba baadhi ya waandamanaji walipoteza maisha.Hata huo Uhuru hawakufaidika nao! Hawakuonja matunda yaliyodhamiriwa.

CDM tulimwacha Dr.Slaa kwa sababu tulimpata ndugu yetu Lowasa atusaidie kwenye mpango Wa kuokoa Taifa letu toka mikononi mwa Majahili CCM.Hiyo ilikuwa sura moja.Nyuma ya sura hiyo Dr.Slaa "akapotea" physically japo tunaye kiasi Fulani kwa njia za kisasa za mawasiliano.Je,hiyo inawafanya CDM kuwa chama cha hovyo na kinachopaswa kutoaminiwa?

Mungu aliumba mema.Akampa mwanadamu Uhuru Wa kujiamulia mambo(free will).Uwezo Wa kuchenjua mema na mabaya.Hiyo ilikuwa sura moja ya mpango na utekelezaji wake.Nyuma ya sura hiyo mwanadamu aka-opt kukubali pendekezo la Shetani kwamba mwanadamu anao uwezo Wa kuwa sawa na Mungu kwa kila kitu(causally uncreated Creator).Je,Mungu kwa uamuzi huo Wa kumpa mwanadamu free will haifai?Amepoteza credibility?Je,Mungu sasa ni mwenye historia ya maamuzi angamizi kwa wanadamu?

Yesu akaja kutuokoa.Akazaliwa na mwanadamu mwanamke.Hiyo ilikuwa sura moja ya mpango na utekelezaji wake.Nyuma ya sura hiyo watu wakampokea kama binadamu mwenzao tu na asiye na lolote.Vijana wenzie wakamwona kama "msela" mwenzao tu tena "mpiga fungi" mzuri tu maana alijumuika nao kule harusini Kana tena kwa kuongeza chupa za bia baada ya zile zilizokuwa zimeandaliwa na Kamati ya harusi kuishia.Zaidi ya yote wakamuua.Lakini pia akawa amesababisha familia za baadhi ya Mitume kama Petro,Paulo, Yohane na wengineo kuparaganyika na kuacha wajane baada ya hao Mitume kuuawa.Je,Kwa matokeo haya Yesu Kritu haifai kusikilizwa na kuaminiwa tena kwa lolote?

Sasa Ndugu yangu Mbowe unajaribu kutuambia nini juu ya Magufuli? Kwamba ile barabara iliyokuwa inajengwa ikapelekea Serikali kudaiwa fidia kubwa ilikuwa mahususi kwa matumizi ya Magufuli? Kwamba ile Meli aliyoikamata na kisha ikatugharimu ilikuwa inavua samaki kwenye Bahari ya Magufuli? Kwamba watu waliofukuzwa na Vyeti feki walikuwa wanatumikia familia ya Magufuli?

Mimi na baadhi ya watu tuna masikio ila "hatujakusikia sawa sawa"! Kwamba katika chaguzi zilizopita mlikuwa munamusaidia Odinga wakati huo huo alikuwa rafiki yake Magufuli na haikuwa nongwa.Na wakati huo huo Magufuli alikwisha kutusababishia hasara za Fidia ya Barabara na Meli na haikuwa nongwa! Kwamba leo Odinga ameendelea kufanya ushirika na Magufuli akiwa Raisi sasa ni nongwa na mumemuhama na sasa "mshikaji" wetu ni Uhuru Kenyata! Uhuru kazaliwa leo? Kwamba tulimsapoti Odinga kwa sababu ambazo leo hazina mashiko tena? Kwamba tunamsapoti Uhuru kwa sababu Odinga ana ushirika na Magufuli ambaye sasa ana "laana" za vilio vya Vyeti feki na kuzuia Makanikia na hivi mkiendelea kumsapoti hiyo laana itamfuata Odinga na hivi hataweza kushinda uchaguzi?

Nina maswali mengi sana! Lakini nihitimishe tu hivi: siasa hizi ni siasa za namna gani? Je, unaposema ni heri wengine wenu mpotee lakini lazima Taifa lipone unamaanisha nini?Kwa nini kama kuna uwezekano tusipate matokeo yote mawili chanya kwa wakati mmoja? Kwamba Taifa lipate faida kwa kumupinga Magufuli na wakati huo huo asipotee mtu? Ikiwa wengine "wataondoka" kama ulivyosema ili kuponyesha Taifa,CDM itakuwa imejitofautisha vipi na Magufuli na maamuzi yake magumu yenye historia ya kuliumiza Taifa?Hebu naomba Unifanye masikio yangu yasikie na yasikie.
1. Tuseme mara ngapi humu wamensupport uhuru kwa sababu ya kipengele cha demokrasia tu maana odinga ni swahiba wa magufuli hivyo ataendelea support udikteta wake haya ukiangali burundi rwanda na Uganda hukp kote kuna madikteta watupu ssa unafkiri lini magufuli atabadilika???? Only hope ni kenyatta ila hakuna sehem yoyote chadema wameamua kumsupport kenyatta eti sababu magufuli anamsupport odinga!!! Kma hyo ni hoja mbona 2013 magufuli na chadema wote walimuunga mkono odinga???? Issue ni demokrasia maana umeona upinzani kenya unavyojijenga na kustawi kwa kasi ya ajabu hivyo sioni mpenda demokrasia yoyote akitamani swahiba wa dikteta aingie madarakani maana ndoo itakuwa kaburi la demokrasia afrika mashariki

2. Slaa hakutimuliwa rather na yeye alihusika kumleta lowasa chadema....... alijiuzulu mwenyewe kwa matakwa yake binafsi na wwe unakumbuka alibembelezwa asiondoke na wazee wa chama na hta kina mnyika walikesha kwake asiondoke chadema then leo hii unasema alitupwa???? Yeye alisharidhia lowasa kuwa mgombea urais issue ni mke wake alikataa ssa hapo ulitaka mbowe afanyeje???

3.kuhusu maamuzi ya magufuli sijaona cha maana hapo..... kwamba maamuzi anayofanya ni ya kuridhisha yye binafsi au wananchi??? Kma ni ya maslahi kwa wananchi mbona tunapolipishwa kwenye mahakama huwa hasemi wizara yake ndio italipa hizo pesa zote za deni??? Maamuzi sawa ni kwa maslahi ya taifa ila je linapokuja deni zito si tunaoumizwa ni watanzania wote ssa huoni mantiki mbowe kukumbushia historia ya bwana huyu kuleta hasara!!!!!
Kma kweli angetaka kufanya kwa maslahi ya taifa basi afuate utaratibu mzima ili hta akiwabana hao mafisadi basi wasikimbilie mahakamani........ ssa kufanya maamuzi kwa mihemko kunaweza licost taifa kma enzi zile dowans au unavyoona IPTL!!! tunajua wanatuibia ila hatuna namna zaidi wakatulipisha mabilioni kule ICSID!!!! hivyo mambo haya yanahitaji umakini coz ikija hasara wananchi ndio tunaoumia sio magufuli!!!!

Hakuna anayempinga magufuli kushughulikia mambo haya shida ya watu ni approach anayotumia.......akisolve hapo hutaona hizi kelele tena
 
Back
Top Bottom