Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Najua inakuuma sana lkn ndiyo hivyo raisi wetu Magufuli ameshamaliza kila kitu Nchi nzima na Afrika nzima inamuona Mzalendo mwenye uthubutu wa hali ya juu, hivyo kwa hili umeshachelewa, treni ilishaenda, nakushauri uingie gym tu kutoa mawazo na stress labda itakusaidia, hata kupunguza mwili pia, ubonge unaathiri ubongo imethibitishwa Kisayansi!