Ziko taarifa na shutma mbalimbali kuwa mh rais JPM akiwa waziri Wa uvuvi alikamata meli ya samaki lakini tukashindwa mahakamani!! Eti alisababisha sheli kufungwa huko mwanza tukalipa mamilioni!! Hoja hii inawapa kiburi wezi eti hata katika hili swala LA mchanga tukashindwa mahakamani na kulipa mabilioni!! Hii ni hoja mfu kabisa na nasikitika kuwa wapinzani wamelishikia bango mpaka kwenye mkutano Mkuu wao huko waliko!! Watu wanaosema hivi hawana mapenzi mema na taifa letu!!
Mh rais Kaunda kamati ya uchunguzi na imemletea ripoti!! Katoa uamzi kulingana na kilichomo ndani ya ripoti!! Kama asingeunda kamati ya uchunguzi akajiamlia mwenyewe hapo ningesapoti hoja ya watu Hawa wanaomsimanga rais wetu!!
Kama kamati ingetoa ripoti halafu mh rais asiifanyie kazi nakwambia kuwa wapinzani Wa Magufuli wangekuja na kioja kingine kuwa rais amedharau mapendekezo ya kamati, Mara huyu hashauriwi, Mara huyu ni fisadi, Mara huyu siyo mzalendo !!
Swala kuwa tumekuwa tukishindwa mahakamani ni kitu kingine!! Kwani Ni Wa kwanza kushindwa mahakamani? Kwani ni sisi Wa kwanza kushindwa mahakamani? Kwani Mbowe kwa mfano hajashindwa Mahakani na kusababisha bilicanas kuvunjwa?kwani Mbowe hajashindwa kesi pale hai akalazimika kulipa milioni moja?
Kushindwa mahakamani inategemeana na hoja ulizozipeleka na mwanasheria uliyemweka!! Tumeona jinsi wanasheria wetu wanavyokosa uzalendo na kusababisha hasara kwa taifa letu!! Mfano uliyo hai ni Wa mh Werema aliyemshauri vibaya rais wetu JK kati swala LA Escrow!! Mpaka alijiuzulu uwanasheria Mkuu Wa serikali!! Swali ni je kushindwa kwetu mahakamani siyo makosa ya wanasheria wetu?
Liko swala la chenji ya radar!!aliyesimamia mikataba ile hakuwa mwanasheria nguli na atuhumiwa kuwa na vijisenti visivyoeleweka kwa wananchi?
Tufike wakati tuwe wazalendo kwa taifa letu!!kabla ya kumlaumu rais wetu tulitakiwa kusubiri kamati ya pili itakuja na mapendekezo yepi?Sasa kabla ya kamati ya pili watu wanakuja na makelele oooh rais kadanganywa!!!ripoti ile ni ya uchunguzi.kwa hiyo kabla ya kupinga you should come with an other report!!Na kama kweli tunalitakia mema taifa letu tumsaidie rais weti na siyo kulaumu au kupinga!!!
Ziko clip zikionyesha wapinzani Wa nchi hii hasa chadema wakilalamikia mikataba hii ya madini!!hata Dr slaa na Mh Lissu wamepongeza hatua hii ya JPM .Sasa wewe na Mimi tunapata wapi ujasiri wakumtukana na kumkejeli rais wetu eti hata alipokamata meli ya samaki ,Mara alipoifungia sheli ya mwanza tulishindwa mahakamani!!!Hii ni hoja mfu ambayo inaletwa na watu ambao akili za kizalendo zimekufa!!