N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,113
- 10,219
Mara nyingi sie hatualikwi kwenye hii mikutano mikubwa najiuliza WHY? Mbona hawa majirani wanaalikwa kila mara mfano hii summit ya G7 Sicily Kenya na baadhi ya Afrikans wameenda,Why not us! PICHA Uhuru Kenyatta akiwa huko kwenye summit,mbona sie wanasema tunakua kwa kasi kwanini hao vibopa wasijenge ushirikiano zaidi na sisi,maana tuna nafuu kuliko majirani kwenye maeneo lukuki.
Kwa nini sisi Tanzania huwa wanaturuka? Orodha ya walioenda mkutano wa G7 wiki hii huku kisiwani Sicily
The African list was as follows:
Ethiopian Prime Minister, Hailemariam Desalegn
Kenyan President, Uhuru Kenyatta
Tunisian President, Beji Caid Essebsi
Chadian President, Issoufou Mahamadou
Guinean President, Alpha Conde – who doubles as African Union chairman
Nigeria’s Acting President, Prof. Yemi Osinbajo
Povu ruksa.