Recent content by cnyoritah

  1. C

    JamiiForums Tanzania Orodha ya simu na other electronics ktk voda expo kesho

    Mh Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  2. C

    JamiiForums Tanzania Sikujua kwa nini vijana wengi wanaichukia ccm.

    Pole sana kaka! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji bajaji ya kununua.

    Ninayo yangu ni used but naiuza million 2 kama unataka mpya zipo ni million sita Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  4. C

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli hizi sifa kwa baadhi ya mikoa?

    Mh Dar upige ubungo plaza Au lile jumba pale sokon kariakoo Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  5. C

    JamiiForums Tanzania Je huyu simba unafikiria ataweza kumkamata huyu ndege? Ninaomba jibu jamani....

    Yeah atafanikiwa kumkamata Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Tanzania tungeweza?

    Hata baba yako atembee uchi utamkana? Utakuwa umekosa akili wewe !!!! Nakushangaa sana wewe unaeidhalilisha nchi yako ya Tanzania ikiwa unaishi Mbagala ndan ya jiji la dar es salaam utakakusaidikaje? Kama unaona mapungufu ushaur wako ni upi? Usilikosoe jeshi ikiwa wewe n mtoto wa mama tu hata...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    Kasome wewe Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu simuelewi

    KhA!!! Sasa unatakajeeee??? Au ndo unajisifia hapo kuwa kaz unaiweza? Utakufa wewe shauri yako! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  9. C

    JamiiForums Tanzania wadada wabaya ndo hutongoza wanaume

    WewEeeeeee oooohOoooo, toka ujitambue ni mwanaume ulishasifiwa n mzuri???? Uctafute kujiaibisha kwa watu wanaokufaham utachekwaaaaaa,,waliokutongoza ndo saizi yako kaka upoo???? Mnamatch ndo maana akaona unamfaa.....usitafute makuu akati kutongoza hujui!!! Sent from my BlackBerry 9780 using...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Watoto wa mama salma kikwete vyuoni

    Embu jaribu kufikiri kwanza bhana kama unafanya ww ucwajumuishe na wengine ndugu acha kukurupuka unajiaibisha!!! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  11. C

    JamiiForums Tanzania wanaume siku hizi tukizubaa kidogo lazima tukatwe kidesign fulani.

    Mmmh labda!!!! Sasa na wewe kwa upaparaz n noma leoleo zshafika huku? Hakuna urafiki hapo asee!! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ndoa yavunjika dakika chache kabla ya kufungwa

    Sasa kama ndo hvyo alievaa shela avue ampe huyo anaestahili kuolewa hapo kelele ziishe jamani watu wanachotaka hapo ni pilau bhaana au.......... Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  13. C

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kesho tarehe 21/09/2013 yako palepale

    Nna kaz nyng tu znazoniingizia na kunitimizia mahitaj yangu so niziache nikaandamane??? Ukosefu wa maarifa huo Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  14. C

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu niliyo jibiwa baada ya kupiga 112 police

    AhahahahAaaaaaaaaaaa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  15. C

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    timeless Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Back
Top Bottom