Ingekuwa Tanzania tungeweza?

Ingekuwa Tanzania tungeweza?

Kwanza nawapa pole wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam tujuzeni.

Naliamini jeshi letu na vijana wa FFU nawaamini...na operation kama ile wala isingefika jumatatu , siku moja tu tungewamaliza.
usidharau kabisa JWTZ na FFU wa Tz ni wazoefu na wana mafunzo ya hali ya juu...na tukio kama lile wakenya ukweli usemwe wameshindwa na baada ya pole na huzuni kupita utaona wakenya watakavo kuja juu kuwataka wahusika wote wa jiuzulu....

operation gani mpama jeshi lote lishindwe kuwa smoke out watu watano tu kwa siku nne? kama walikua wamejificha ndani ya kajichumba na tabu kuwapata jee huo mlango au dirisha halivunjiki kwa RPG ? Mpaka uangushe Gorofa 3 ? kuna jambo lime fichwa hapa wakenya wame pigwa changa la macho....kuna uwezekano mkubwa kumefanyika jinai nyengine ndani ya ku ransack mali za watu na baadae kuangusha jengo ili kuficha uhalifu huo...
hivo jeshi letu lipo juu ndugu....wala mtu asilinganishe kwa dharau ati mbona wamwaga acid mbona hawapatikani hayo yana fanyika mafichoni ...
poleni kenya lakini vijana wenu wa usalama wana hitaji kuchunguzwa
 
Hewala bwana, mimi mtwana nimekosea! Wewe ukiwa kama jambazi mzoefu unatoa ushauri gani kwa wenye nyumba wanapoona majambazi kama wewe wanavamia na kushambulia nyumba ya jirani?

Hao ndo kwako unaona tatizo!! No wonder we ni kada na ni mtoto wa mkuu wa wilaya.
Wanaosanisha mikataba mibovu na kuua tembo, we huoni ishu!!
 
Naliamini jeshi letu na vijana wa FFU nawaamini...na operation kama ile wala isingefika jumatatu , siku moja tu tungewamaliza.
usidharau kabisa JWTZ na FFU wa Tz ni wazoefu na wana mafunzo ya hali ya juu...na tukio kama lile wakenya ukweli usemwe wameshindwa na baada ya pole na huzuni kupita utaona wakenya watakavo kuja juu kuwataka wahusika wote wa jiuzulu....

operation gani mpama jeshi lote lishindwe kuwa smoke out watu watano tu kwa siku nne? kama walikua wamejificha ndani ya kajichumba na tabu kuwapata jee huo mlango au dirisha halivunjiki kwa RPG ? Mpaka uangushe Gorofa 3 ? kuna jambo lime fichwa hapa wakenya wame pigwa changa la macho....kuna uwezekano mkubwa kumefanyika jinai nyengine ndani ya ku ransack mali za watu na baadae kuangusha jengo ili kuficha uhalifu huo...
hivo jeshi letu lipo juu ndugu....wala mtu asilinganishe kwa dharau ati mbona wamwaga acid mbona hawapatikani hayo yana fanyika mafichoni ...
poleni kenya lakini vijana wenu wa usalama wana hitaji kuchunguzwa

Wauaji na wamwagiaji tindikali mapadri wangapi wamekamatwa?
 
wewe siunaishi congo kaulize mziki wetu kwa m23 ndipo uje kuuliza swali hili.

huyu jamaa kihiyo kweli, anaulizia madevu afghanstan? Kama magaidi wa nje ya mipaka yetu (renamo, unita, m 23 etc) tunayaweza iweje ndani ya nchi yetu ? Acha usiombee tz inatisha!
 
naliamini jeshi letu na vijana wa ffu nawaamini...na operation kama ile wala isingefika jumatatu , siku moja tu tungewamaliza.
Usidharau kabisa jwtz na ffu wa tz ni wazoefu na wana mafunzo ya hali ya juu...na tukio kama lile wakenya ukweli usemwe wameshindwa na baada ya pole na huzuni kupita utaona wakenya watakavo kuja juu kuwataka wahusika wote wa jiuzulu....

Operation gani mpama jeshi lote lishindwe kuwa smoke out watu watano tu kwa siku nne? Kama walikua wamejificha ndani ya kajichumba na tabu kuwapata jee huo mlango au dirisha halivunjiki kwa rpg ? Mpaka uangushe gorofa 3 ? Kuna jambo lime fichwa hapa wakenya wame pigwa changa la macho....kuna uwezekano mkubwa kumefanyika jinai nyengine ndani ya ku ransack mali za watu na baadae kuangusha jengo ili kuficha uhalifu huo...
Hivo jeshi letu lipo juu ndugu....wala mtu asilinganishe kwa dharau ati mbona wamwaga acid mbona hawapatikani hayo yana fanyika mafichoni ...
Poleni kenya lakini vijana wenu wa usalama wana hitaji kuchunguzwa

mkuu ni ukweli mchungu sana lakini usiopingika kenya wanajeshi dhaifu sana, rejea miaka ya nyuma kidogo jeshi la ethiopia lilipopoteza mwelekeo na kuvamia vituo vya kijeshi vya kenya badala ya kambi za alshabab!
 
Uongozi ni legelege, siamii kama ulinzi nao sio legelege. Tuombe tu Mungu ilistokee. Hata hivyo hao wanaoamini kuwa tuko imara kijeshi nawapongeza maana inanipa moyo kwamba niko salama angalu kwa muda huu.
 
wauaji na wamwagiaji tindikali mapadri wangapi wamekamatwa?
hao wamwagatindikali mkuu huenda ni serikali yenyewe inawasaport but kwa ugaidi majeshi yetu ni hatari yatadhibiti mkuu for sure!
 
bongo tupo vizuri sana
nashangaa wakenya wamewaacha mpaka siku tatu, jeshi la bongo tupe 1hour
kazi imeisha uliza visiwa vya Commoro

Kwa polisi wa Tz wangeua mateka na watekaji, na wangelipua jengo lote la Mlimani City!
 
Naliamini jeshi la wananchi ila sio polisi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jodoki;wale hawakusubir ukaguz, walifanya ambush maeneo ya ukaguzi na kuwazid nguvu walinzi. Wangekubali kukaguliwa wasingepita.

Asante kwa taarifa mkuu maana niliwahi pita NRB kwa siku mbili tatu karibu kila sehemu niliyoingia ukiondoa kwenye maduka nakutana na ukaguzi ambao huku kwetu mpaka uende club za usiku ndio unakutana na ukaguzi wa kupitishiwa lile liubao la ku-detect vitu mbalimbali hatarishi sasa nikajiuliza jamaa walipenyaje
 
Hata baba yako atembee uchi utamkana? Utakuwa umekosa akili wewe !!!! Nakushangaa sana wewe unaeidhalilisha nchi yako ya Tanzania ikiwa unaishi Mbagala ndan ya jiji la dar es salaam utakakusaidikaje? Kama unaona mapungufu ushaur wako ni upi? Usilikosoe jeshi ikiwa wewe n mtoto wa mama tu hata JKT unaiogopa!!!
Watch out ndugu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
KWELI JF imevamiwa!! wewe unALINGANISHA UWEZO WA WATANZANIA NA WALE WAOGA? waulize waganda wakati wa vita ya kagera.wao walipo bomoa daraja la mto Kagera walidhani ndio mwisho wa ujanja wetu,lakini walishangaa daraja lile lilijengwa kwa muda wa wiki tatu tu na wanajeshi wakavuka na juma la tano wakawa nchini mwao.sasa wale magaidi 15 imewachukua KENYA SIKU 4 kumalizana nao! ingekuwa kwetu wale ilikuwa na 4 or 5 hours toka walipo kuwa wamevamia hadi kuwa kamata dead or alive.SISI NI ZAIDI YA WOTE EAST AFRICA, AMINI USIAMINI.
 
Hata baba yako atembee uchi utamkana? Utakuwa umekosa akili wewe !!!! Nakushangaa sana wewe unaeidhalilisha nchi yako ya Tanzania ikiwa unaishi Mbagala ndan ya jiji la dar es salaam utakakusaidikaje? Kama unaona mapungufu ushaur wako ni upi? Usilikosoe jeshi ikiwa wewe n mtoto wa mama tu hata JKT unaiogopa!!!
Watch out ndugu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

You are a great thinker! kweli huyo siyo tu limbukeni lakini pia ni mtoto.Anawasifia wakenya kwa kipi hasa? kuwashinda magaidi 15 kwa siku 4? je wangekuwa mia? si wangetumia karne moja? halafu eti yeye anawasifu anaona wamefanya jambo kubwaaa! utoto bwana raha sana.TANZANIA KWA MAMBO MENGI NI ZAIDI YA NCHI ZOTE EAST AFRICA!
 
Kwanza nawapa pole wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam tujuzeni.
Mod, ondoa huu upuuzi. Sion tija yake kwa great thinkers.
 
Back
Top Bottom