hapo sijazungumzia wanaotumia viashiria, nasema wale wanaokuita na kukutamkia kabisa 'kaka nimekupenda yaani sijielewi'. hao wanaotengeneza maziwa uwatongoze nimewaona kibao.Sio kweli kwamba wanawake shapeless na sura mbaya tu ndiyo wanaotongoza wanaume bali imetokea kwako wewe ndio maana ukafikiri hivyo. Kuna kutongozwa kwa aina nyingi inategemea na utaalamu wako wa kuwasoma, mara nyingi hawako direct kama wanaume kutokana na hofu ya kukataliwa mbele za watu au kuonekana kwamba ni malaya wakati sio. Wanawake wanapenda na kutamani kama wanaume isipokuwa wanakuwa waoga kusema. Ila wapo pia wanaume ambao ni waoga na mara nyingi huwatumia watu wengine kuanzisha mahisiano.
zimwimtu Nadhani tatizo nilionalo kwako ni kuzungumzia mchezo wa pool table wakati huujui. sanaa ya kutongoza ni pana sana na inategemea jinsia, mazingira, elimu, utamaduni n.k kama hujui kusoma alama za huo mchezo unaweza usijue kama unatongozwa au unafanyiwa rafu.
kingine usiwe na uhuru wa kusema fulani mbaya kwa kujumuisha jamii nzima kwani ubaya au uzuri wa mtu ni macho ya mtu.
Wewe mwenyewe kipande?????!!!!!
Au unataka visu wakati na wewe ndo pangu pakavu???!!!!
Hao visu unaowasema wanatongoza ila ni masista duu maarifa so kusoma betwen em lines needs umakini katika hilo!!!!!
Either ways mwanamke mwenye ujasiri wa kukutongoza msikilize na mueleweshe kwa mujibu wa matakwa yako kama you are tricky enough make her the best friend hutojuta ni washauri wazuri na mara nyingi huwa wanamsaada sana pindi unapokuwa na uhitaji!!!
Kila game ina rules zake ukizingatia hujuti kucheza
Kumbe, ndo maana!!
ha ha ha..., kiukweli mim wa kawaida tu. sio handsome kivile. ila hapa sizungumzii wale wanaotengeneza mazingira ya kutongozwa, nazungumzia wale wanakuita na kukupa sound kabisa, ushauri wako nimeuchukua kakaWewe mwenyewe kipande?????!!!!!Au unataka visu wakati na wewe ndo pangu pakavu???!!!!Hao visu unaowasema wanatongoza ila ni masista duu maarifa so kusoma betwen em lines needs umakini katika hilo!!!!!Either ways mwanamke mwenye ujasiri wa kukutongoza msikilize na mueleweshe kwa mujibu wa matakwa yako kama you are tricky enough make her the best friend hutojuta ni washauri wazuri na mara nyingi huwa wanamsaada sana pindi unapokuwa na uhitaji!!!Kila game ina rules zake ukizingatia hujuti kucheza
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.... (copy from lala 1)
nawasalimu wana jamvi.., hop mko poa na mnaendelea na kazi, japo wengine hang-over zinasumbua lakin inshallah jion itafika tu.
ni mijadala mingi imepita kuhusu wanawake kuwatongoza wanaume na utamaduni wa kiafrika, kwangu mim naona ni kitu kizuri mtu kueleza hisia zake, haijarishi ni mwanamke au mwanaume.
sasa mie hili limenitokea mara ya tatu kutongozwa na wasichana. sio kwamba mim nina muonekano mzuri, la hasha,
lakin wasichana wote hao ni wale shapeless, sura mbaya, yaani sio presentable kabisa. naiuliza siri iliyopo hapa, je wadada waliokata tamaa kabisa ndo hufikia wakati kutongoza wanaume sababu hawatongozwi au ni kitu gani? wanaume wenzagu semen, mlishawahi kutongozwa na mdada kisu kabisa?
mie kutokana na experience hiyo nime conclude kwamba utaratibu wa wadada kuwatongoza wanaume haupo, ila tu ni kwa wachache ambao wamepoteza muelekeo.
wadau prove me wrong.
ha ha ha ha..., sasa hapo bro si unazungumzia machangudoa.. hao wanakutongoza mpaka anakushika mkono mka du..,Si kweli. Alhamisi iliyopita mbona mimi nilitongozwa na dada mmoja mzuri sana pale Calabash Mwenge? Labda useme tabia ya mtu tu ila sura na shape hazitoi jibu la moja kwa moja kwa mtongozaji wa kike
sio kwamba sijui kutongoza, ninae wangu ambaye nimmtongoza mwenyewe!. ninachosema ni kwamba pamoja kusema haki sawa kwa wote na wadada wanasema wanaanza kutongoza wanaume, wanaojaribu ni wale wabaya wabaya ambao hawatongozwi sana na wanaume, kiufupi waliojikatia tamaa ndo wanafunguka kwa wanaume wanaowatamani.WewEeeeeee oooohOoooo, toka ujitambue ni mwanaume ulishasifiwa n mzuri???? Uctafute kujiaibisha kwa watu wanaokufaham utachekwaaaaaa,,waliokutongoza ndo saizi yako kaka upoo????
Mnamatch ndo maana akaona unamfaa.....usitafute makuu akati kutongoza hujui!!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mie tangu mtoto natongozwa na wanawake, huwa nashangaa wanosema wanawake wanashindwa kutongoza.......!!