Orodha ya simu na other electronics ktk voda expo kesho

Orodha ya simu na other electronics ktk voda expo kesho

naskia wanakupunguzia bei ya simu kwa asilimia kubwa sana unaweza ukauziwa hata laki moja au mbili
simu ya milioni. au hata chini zaidi..ila kila mwezi
unakua unawalipa kiasi flani cha pesa labda elfu
50,hiyo wanakupa labda messages kadhaa, internet
n calling minutes kadhaa, n ukiingia hujitoi au ukijitoa unalipia asilimia 100 ya ile simu
 
Halafu piya hizo vitu ni za laini moja tu ya vodacom na
huwezi kuflash kwa namna
yoyote ile na ukifanya hivyo basi
haitakuwa salama tena kwa matumizi
hivyo itakuwa ya kutupwa tu!!!
 
Ila kwa iPad kama hiyo ya 600K sijaona punguzo lolote hapo la bei, mbona ndio bei yake hiyo.. kusema ni 56% ni ajabu sana ina maana inaenda kwa 1M+
 
kuna lundo la watu duuh! nihatari aisee'''
 
kuna lundo la watu duuh! nihatari aisee'''

Vya bure tena
1421268_675835435774175_2045241640_o.jpg
 
msiniambie hdi sasa havijaisha... Nawajua Voda, wanaweza kua walieta unit moja moja.
 
Sasa hebu naomba mnisaidie mimi nataka simu yenye button ambayo inasupport whatsup na sitaki ya kuslide ninunue ipi?yenye vigezo hivyo?budget yangu ni laki 2

Cheki galaxy y ndo simu ninayotumia mimi...iko poa sana.
 
Aisee nmefika kuona hilo lundo la watu nikaamua kugeuza
 
Dah.... kulikuwa na mbanano balaa maana maelfu ya watu walikuwa pale, vitu vingi walivyouza bei chini ni vyakizamani hivi vya kisasa bei ni ile ile tu. nashukuru nimechukua wireless router modem kwa tsh 50,000 pia nimebeba 3pc za 3.6Mbps Zte K3565-z kwa tsh 45,000/= sasa nacheza na DC unlocker ili baadae niwakadhi wife na madogo vimodem vyao
 
router yao unaionaje mkuu, I'm bouncing my head around either nichukue hizi D-link or hii portable. What's your take kwa hiyo, ya voda is it living 2 your expectations?
 
router yao unaionaje mkuu, I'm bouncing my head around either nichukue hizi D-link or hii portable. What's your take kwa hiyo, ya voda is it living 2 your expectations?
mi nimefuata blackberry curve 9320 na hizo wifi-router ila vyote havipo hivy ndo nimejipoza na K3805-z
kifupi hakuna vya ukweli pale maana vingi ni matoleo ya zamani na vile vichache vizuri wanauza bei ya dukani
 
Back
Top Bottom