Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
*Ukitaka watu wahakiki kama
umefika
DAR lazima upige picha daraja la
manzese
*ukitaka wahakiki kama umefika
mwanza lazima upige picha na
samaki mkubwa
*ukitaka wahakiki kama umefika
DODOMA
lazima upige picha bungeni
*kwa mikoa kama singida ambayo
haina kivutio chochote inabidi upige
picha na alizeti
umefika
DAR lazima upige picha daraja la
manzese
*ukitaka wahakiki kama umefika
mwanza lazima upige picha na
samaki mkubwa
*ukitaka wahakiki kama umefika
DODOMA
lazima upige picha bungeni
*kwa mikoa kama singida ambayo
haina kivutio chochote inabidi upige
picha na alizeti